Harusi ya Haji Manara

Watatu ndio waliopita mbele( kwenye tukio la kuvishana pete)
Yes alisema ana watoto watatu ila kiuhalisia ni wanne ,kama uliona wale wakike wawili walioenda kumpelekea pete ,zamaradi amewatambulisha mmoja anaitwa Fetty Fatma Haji manara na mwingine jina limenitoka alivaa gauni nyekundu naye ni mtoto wa Haji,na wale wakiume wawili aliowatambulisha mmoja mwanayanga mwingine yule tall aliyemuamkia akasema hajaonana nao zaidi ya miezi miwili coz ya shule.
 
Okay
 
Ndio walisema anaitwa Hamida,
 
Back
Top Bottom