Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

1. Mama Samia 2. Anne Makinda 3. Rita Paulsen 4. Mama Mongela 5. Mwamvita Makamba
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Tazameni hapa miguu ya Rosa Ree inavyovutia , mtoto guuu guuu 😂😂😂😂😂. Sema Rosa Ree naona kaacha kumpost yule bwana wake manywele maana kule insta tulikuwa hatupumui .
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Jarida la Forbes katika toleo lake la 9 limetoa orodha ya ‘FORBES AFRICA 30 Under 30’ Vijana 30 wenye ushawishi mkubwa Barani Africa kwenye Sekta za Ujasiriamali, Uvumbuzi na Uongozi ambao unakuza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Dah dogo alikuwa bonge la rapper walikatisha maisha yake mapema sana alikufa akiwa na miaka 20 Producer Rico Beats alisema kwamba kabla ya kufa kwake alikuwa anajuta kuwa kwenye gang na alikuwa...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za wengi. Lilikuwa na msisimko wa aina yake na hata warembo...
16 Reactions
113 Replies
36K Views
Mimi ni mpenzi wa hip hop sana ukiacha kina B.I.G 2PAC N.K ila kwa huyu dogoo album yake nime mkubali sana album yake ya string and bling naikubali sana huwa nasikiliza hadi week nzima bila...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Franklin Boukaka nilianzaga kumfuatulia huyu Mkongo hasa baada ya wimbo wake mmoja kuwa unapigwa pigwa sana Sauti ya Ujerumani. Nikaanza kumfuatilia nikaja kugundua mbali ya kuwa mwanamziki...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Kila nikikumbana na wimbo wa Tutakukumbuka wa GK unanikumbusha taswira ya D-Rob (Robert Mwingira). Nashindwa kuacha kutoa machozi kila nikiusikia wimbo huo. Nakukumbuka sana brother, 2001...
14 Reactions
54 Replies
5K Views
Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps...
1 Reactions
7 Replies
969 Views
Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu Hata hotuba zake anacheka tu Akipiga picha ni kicheko...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
"When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it."...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu.. Moja kwa moja kwenye mada,, nimekuwa fan mkubwa wa Suma Mnazaleti kwa muda mrefu tangu katoa wimbo ambao niliupenda sana kwa kipindi kile, na naweza kusema ndio wimbo...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi...
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Leo baada ya kumsikia jaji akiitaja dhamana yake ambayo ni dola za Kimarekani milioni 25. Naona mwisho wa huyu jamaa, ambaye ni mwazilishi mwenza wa Death Row Records, umekaribia sasa. Manake...
3 Reactions
103 Replies
16K Views
Habari marafiki napenda kumfahamu huyu mtu anayeitwa Dax. Nimekua nikifuatilia nyimbo zake naona ni zatofauti sana. Dax ni nani? Hebu tizama hii video yake.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Tupige soga kidogo kuvusha wikiendi.. Sisi 'old skool' wa Bongofleva tuna mambo yetu. Hatushughulishwi na story za kizazi hiki cha kina Harmonize. Ndio maana mtaona nyuzi zetu mostly zinawahusu...
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao. Niwekee wazi tu SI...
14 Reactions
51 Replies
9K Views
Siku chache baada ya kuwataja #LilWayne na #Eminem kuwa ndio 'Rappers' wakali wa muda wote (GOAT), Tyga ameamua kumpa Nicki Maua yake na kueleza kuwa hakuna Rapa mwingine wa kike anayemkaribia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom