Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
498
1,000
Habari ndugu zangu

Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la ndoto zake aina ya lamborghini na kuwa miongoni mwa mastaa wachache kutoka Afrika wanaomiliki magari ya kifahari.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost video fupi ikionesha mapokezi ya gari hilo na kupitia video hiyo amesikika akisema I waited for so long. Kweli mziki unalipa asee
 
Attachments

 • davidoofficial_20201001_173708_0.jpg
  File size
  210.2 KB
  Views
  0
 • davidoofficial_20201001_173701_0.jpg
  File size
  210.2 KB
  Views
  0

Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
498
1,000
Mwache afurahie mafanikio yake,hata asingekuwa mwanamziki bado anagekuwa anadrive mandinga kama hayo,kwani baba yake mzazi net worth yake ni zaidi ya USD mil 700.Kwa kifupi jamaa amezaliwa kazikuta hela na yeye anazidi kutengeneza hela zake binafsi.
kweli kabisa
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
19,915
2,000
Davido kwao mambo Safi

Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..

So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,949
2,000
Davido kwao mambo Safi

Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..

So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi

Mkuu wewe mshua wako anakupa zawadi?
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
498
1,000
Davido kwao mambo Safi

Toka mama yake mzazi afariki mshua anamdekeza kama yai, na IAM sure huo mkoko mdingi wake ndo kamnunulia, maana mzee anamiliki mayatch, jets, migodi ya kufa mtu..

So vitu vingi mshua ndo anampaga kama zawadi
pamoja na hilo lakini Davido kupitia muziki anatengeneza pesa nyingi sana, hivyo kununua gari Kama hilo ni kawaida sana kwake.
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,637
2,000
Ufipa watapinga wataenda kwa wakili wao wamshitaki kijana Davido kwa kujali maendeleo ya vitu sio watu

Ngoja tusubiri barua ya vitisho
Ukiwa ufipa ni mzigo maishani kichwa kinakuwepo kwa ajili ya kuhifadhia vitu kero kama kamasi badala ya kufikiri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom