Leo ndo najua kama Mzee Kaboba wa Mwantumu ni Joti

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,825
Sio mfuatailiaji sana Wa tamthilia ya mwantumu DSTV nimeangalia Mara kadhaa ila sikuwahi kutambua kama kaboba ni Joti.

Kama kwa hakika joti ana kipaji siku zote nilidhani kaboba ni msanii mwingine kabisa anayevaa tu mindevuna kitambi Leo mtoto mdogo ndo kanisanua kuwa yule huwa ni joti.

Kweli Joti unajua ila kwa sasa standup comedy wanafanya vizuri sana kuanzia wa Cheka tu Na wasanii Wa G viper kina ndaro mjeshi, Steve, TX Dullah Mnyama, Black, Leonardo n.k wote hao wanajua ila hawawezi kubadilika kama wewe.

1558352897-56_maisha_bongo_20181016_mwantumu_s2_ep2_x264_med.jpg
 
Back
Top Bottom