Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi watu wa HIP HOP. Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini? Hivi Langa alitoa Album ngapi wakati wa uhai wa uhai wake. Tujuzane ndugu zangu. #forgive Me.
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu. Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au...
12 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari. Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool. RIP little Young. Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi...
9 Reactions
319 Replies
25K Views
Wanasema Albert Mangwair alikuwa rapper ambaye alikuwa mbele ya muda. Hawajawahi kuacha kusema kila linapokuja suala la mbele ya muda kwenye mziki, Ngwair anazungumziwa sana. Naombeni tujadili...
3 Reactions
98 Replies
7K Views
Rais wa awamu ya nne mzee Kikwete amepewa tuzo maalum ya kukuza muziki na kulea wasanii wakati wa utawala wake . Amewakiliswa na mwanawe Miraji Kikwete jukwaani na kupiga simu kushukuru kwa kuwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Star wa muziki wa Afro Beats kutoka Nigeria amejizawadia ndinga mpya aina Mercedes Benz Maybach Virgil Abloh mpya kabisa. Gari hizo zimetengenezwa 150 tu na sasa Davido atakuwa kati ya Watu 150...
16 Reactions
145 Replies
11K Views
Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali...
26 Reactions
62 Replies
14K Views
walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kauli za nyota mwimbaji wa Bongo Flava, Nandy kuhusu Watangazaji wa Wasafi Media na Wafanyakazi wao kumshambulia na kumfanyia hila za kumshusha kimuziki imeibua mengi huko Instagram leo.
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii ni moja ya picha ya mategemeo ya ukuaji kwa watoto walio chini ya uangalizi wa baba na walio chini ya uangalizi wa Mama, sio tuu kiumbo bali,kiakili na kihisia yaani hulka jinsia kwa ujumla...
12 Reactions
25 Replies
4K Views
Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja. Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa EFM akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile...
10 Reactions
63 Replies
9K Views
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM. Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu. Swaga zako...
20 Reactions
59 Replies
5K Views
Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe...
20 Reactions
200 Replies
12K Views
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze...
6 Reactions
86 Replies
9K Views
Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika. Walipokuwa kwenye...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…