TANZIA Mtangazaji Jerry Springer afariki dunia

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Screenshot_20230427_155342_Chrome.jpg

Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia

Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer

Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago, amefariki akiwa na umri wa miaka 79

Jerry Springer alikuwa mtangazaji wa kipindi chake maarufu sana cha talk show kinachoitwa The Jerry Spinger Show
 
View attachment 2601569

Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia

Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer

Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake, amefariki akiwa na umri wa miaka 79

Jerry Springer alikuwa mtangazaji wa kipindi chake maarufu sana cha talk show kinachoitwa Jerry Spinger Show
Nilikuwa mshabiki sana wa kipindi chake..

Apumzike..
 
Daa mwamba huyu alitengeneza umaarufu sana katika kipindi chake hicho

Yaani ngumi nje nje
Nilikuwa naangalia miaka ya 90 alipoanza kama kipindi cha siasa na kuwahoji watu maarufu na baadae kubadili na kuwa tofauti kabisa

Apumzike anakostahili
 
View attachment 2601569

Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia

Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer

Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago, amefariki akiwa na umri wa miaka 79

Jerry Springer alikuwa mtangazaji wa kipindi chake maarufu sana cha talk show kinachoitwa The Jerry Spinger Show
Nakumbuka nilikuwa mpenzi wa hiki kipindi back in 2006 to 2008nikiwa bado mwanafunzi. Rip jerry
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom