Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi BabaMorgan ni miongoni mwa wafuasi wako kati ya wale wengi wanaopenda kile unachokifanya unapokuwa nyuma ya kipaza sauti(mic) uwezo wako ni masterpiece. Nimefurahi sana kuanzishwa na kufanya...
20 Reactions
51 Replies
4K Views
Ni muda mrefu tumekua tukisikia stori kuhusu jamii za siri kama vile Illuminati, Freemasonry na nyinginezo zikihusishwa na mafanikio ya wasanii au watu maarufu Duniani ikisemekana kuwa wameuza...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature...
32 Reactions
367 Replies
24K Views
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa...
16 Reactions
123 Replies
13K Views
Mwamba tuvushe...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Hivi hii story 3 ya Jay Moe ilitoka mwaka gani?
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha".
3 Reactions
8 Replies
915 Views
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya...
41 Reactions
554 Replies
45K Views
Sina mengi.. Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka?
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu. Hiyo siku tuje...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu habari. Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI. Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na...
3 Reactions
88 Replies
17K Views
Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na mwenza wake Mh. Mohamed Mchengerwa katika moja ya mitoko yao.
10 Reactions
72 Replies
10K Views
Pendekezo la kumlipa Trevor Noah Randi Milioni 33 sawa na takriban Tsh. Bilioni 4.2 kwa Video ya Dakika 5 ili kuitangaza South Africa kama Kivutio cha Kitalii, limesababisha mpasuko baada ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki mkubwa. Hivi ndivyo walivyofanya Paula na Kajala wakitoa misaada kwa watu wasiojiweza huko Arusha ambapo mpango huo...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu. Wimbo ni mzuri...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
1. Ally Kamwe na Privaldinho 2. Beka Flava na Mayele Ongeza na wako.
22 Reactions
121 Replies
16K Views
Uzi mzuri sana kwa ajili ya kupeana updates za kazi kutoka kwenye kundi la Abdallah Nzuda na mwenzie Amini Samofi Hapa tutajadili michezo yao iliyotuvutia zaidi, matukio pamoja na wasifu wa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…