Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.
Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni...
Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food πππππ
Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na...
Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu.
BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine...
Mwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena.
NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC...
Baada ya kulilia penzi la Harmonize kwa muda mrefu bila mafanikio. Mwanadada Jacqueline Wolper hatimaye aamua kumsambazia utamu huyu kijana ambapo bila hiyana wolper alimsifia kijana huyu kwamba...
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha...
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya...
According to TMZ, Vin Diesel is facing a lawsuit for allegedly forcing himself on an assistant working with him during production on "FAST AND FURIOUS".
Asta jonasson says she was hired by one...
Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize.
Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka...
Huyu jamaa kapotelea wapi, alilisimamisha sana kundi la Vatoloco soldiers kule Arusha, kwa sasa yuko kimya sana, nakubali sana harakati zake ni mjamaa asiekwepesha ukizingua kama Maalim Nash tu...
I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake...
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.
Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa...
Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay
STORY INAANZIA...
DJ maarufu nchini, Romeo George βRomy Jonesβ ameingia katika bifu zito na bosi wake katika tasnia ya filamu mwanamama Leah Mwendamseke βLamataβ kwa kile kinachodhaniwa kuwa vita ya kimaslahi...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile...
Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na...