2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP
Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya...
This is for the soldiers that see the sun at midnight, ya dig
Let me slow down
(it's so incredible)
Rick Ross verse
I go to the grave before i be a bitch nigga.
Better behave, you dealin' with...
Notorious BIG au kwa jina lake la ubatizo Christopher Wallace, anasafiri kwenda Los Angeles Marekani, ilikua Februari 1997, anaenda ku promote albamu yake ya "Life after Death", na video ya nyimbo...
Wanajamii,
Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni...
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa...
Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa..
Mifano ni mingi,unakuta...
Kwa wale wapenzi wa filamu za kichina mtakuwa mnaelewa usnitch ,upambe umbea wa huyu jamaa.
Sidhani kama ana mpinzani huyu kiumbe , ila sasa ni hodari wa kutumia mbio yakimshinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.
Bwana Masese amekutana na...
Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni...
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba...
Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga...
Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani.
Dotto ameyasema hayo...
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani...
Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde...
Anybody say something please.
This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry
Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!?
Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame...
Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye...
Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk...
Leo ni kumbukumbu ya mfanano wa siku ya kuzaliwa ya bondia tajiri zaidi duniani ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather Jr wengi wanapenda kumuita The Money May.
Floyd Jr baba yake mzazi...