Album mpya imetoka ni kali balaa usipimeee kuna kitu kinaitwa run the world girls,start over,party,na love on top utapenda kuisikiliza na kucheza big up beyonce amedai kuwa atakuja bongo kufanya...
Wana JF tangu nimejiunga nimekua nikiona contributions nyingi zinagusia neno malaria sugu. Je has it got something to do with mradi wa sugu wa malaria or? Naomba chimbuko ya neno hili na sababu...
Nilikuwa nasikiliza radio. Hata hivyo bado nasikiliza. Ni ka kchibo kangu baada ya ngeleja kunitokea hadi muda huu akini haunt (kiswahili chake sijui ni kipi). Sasa nikamsikia mwana fa na wimbo...
Ok Its about time..Cynthia Masasi website www.cynthiamasasiworld.com is up and running..She will be launching her new website this weekend in Houston TX.....Its all about supporting our own zone...
kwa watu wanaofuatilia maneno ya kenya,basi huyu mrembo Easter Arunga mtakuwa mnafahamu skandali zake
YouTube - ‪Bull's-Eye: Political Supernova 12/03/10‬‏
These guys bana...
Wanamtando swali ni hili:
una mtoto wa kiume na mtoto wa kike .then unaletewa malalamiko kuwa mwanao wa kiume kampa mtoto wa watu mimba huko au mtoto wako wa kike kapachikwa mimba huko karudi...
his quite a challenge on us Africans
Would any other First Lady have chanced it?
First lady looking GOOD, shes ready for some football!!!!!!!!!
That's NFL Commissioner..,Roger...
Wadau, nimezimisi sana sauti za wakongwe wa BBC hapa TZ miaka ya nyuma kidogo. Wakongwe hawa ni Abdalllah Majura na John Ngahyoma, sauti zao walipotuma habari BBC zilikuwa zinavutia sana tofauti...
Giggs bro Rhodri dumps wife over her affair with Ryan
Shock at eight-year deceit
By RICHARD MORIARTY and JOHN COLES
Published: Today
Add a comment (49)
CHEATING Ryan Giggs'...
A report is spreading quickly on Facebook and Twitter that famed rapper Tupac Shakur is shockingly "alive and well" in New Zealand, 15 years after he died.
This is of course false. Tupac died in...
Ray C Bragging About Her Meeting Ja Rule
Ja Rule and Ray C
Even those we call stars get star struck by other big size stars. Just like Adele claimed to...
Maswali ya kujiuliza hivi.....
Hivi inakuaje kiongozi kama Nape kuongea na vyombo vya habari huku akionyesha chain .
Hivi Chama hakina maadili yanayohusiana na mavazi.
Hivi alisahau au alifanya...
Simon Cowell blames Cheryl Cole's lack of committment for sacking
by Mark Jefferies and Tom Bryant, Daily Mirror 28/05/2011
Decrease font size Increase font...
Sina maana ya ukanda ila mikoa ya LINDI, MTWARA DODOMA KIBAHA,MBONA HAIZALISHI MABINTI AMBAO NI MASTAA AU WANAOWAKILISHA TAIFA KWENYE MAMBO TOFAUTI TOFAUTI mf riadha ,umiss taifa,BBA,Utangazaji ,nk