Swali la ukweli kuhusu Big Brother Afika na mfumo dume/jike kwa wana JF na watz kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la ukweli kuhusu Big Brother Afika na mfumo dume/jike kwa wana JF na watz kwa ujumla

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Saint Ivuga, Jun 7, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  Wanamtando swali ni hili:
  una mtoto wa kiume na mtoto wa kike .then unaletewa malalamiko kuwa mwanao wa kiume kampa mtoto wa watu mimba huko au mtoto wako wa kike kapachikwa mimba huko karudi nayo, kipi ambacho ni bora zaidi ?ni swali tu kwa hiyo no malalamishi
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  hee ! hamna jibu?
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tatizo watu ambao hamna watoto mnaimagination nyingi tuu,
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  atajijua mwenyewe, ampe mtu mimba au apewe mimba ni shauri yake..kama hajui kuilea atajiju.
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Watu wengi tatizo linakuwa kwa mtoto wa kike kupata ujauzito. Hata nyumbani watoto wa kike ndo huchungwa zaidi wakiume ni free range.
   
 6. N

  Nsagali Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijaelewa swali linahusu nini
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mimi nitawasifu wote kwani nitaitwa babu.
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Yote makosa,wote wataadhibiwa!
   
 9. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Apewe au ampe mimba,wazazi wote duniani wapo kwa ajili ya kulinda familia zao,ukiwa mzazi jukumu lako la kwanza ni kulinda,kujenga na kutoa malezi bora kwa watoto wako haijalishi wa kike au wakiume ukifanya kosa ni kosa na mwisho wa cku lawama zitakujia ww mzazi kwa kutokumpa mwanao malezi bora.
   
Loading...