Cynthia Masasi website is Up and running

asante maana mara ya mwisho kuiangalia ilikuwa 2008 asante leo umenikumbusha
 
eeeh nimeenda kikapotelea huko huko!!!
its a gud one shostito mwaya asante kwa updates.
 
Mashalaaaah mwanasesere wa kisukuma hakika ametulia. Ila mimi kwa "Niangusage" wangu sisikii wala siambiwi. Tanangozi kwangu ndo mwisho wa reli hata kama garimoshi halifiki huko.
NN unapafaham huko kusiko na reli?
 
Ok Its about time..Cynthia Masasi website www.cynthiamasasiworld.com is up and running..She will be launching her new website this weekend in Houston TX.....Its all about supporting our own zone sisters.

Nadhani kuna tofauti kubwa kati ya BLOG na WEBSITE. Hii ni blog sio website kwa utaalamu kidogo nilionao na baada ya kuichungulia. Afterall ni kwa ajili ya kujisifia mwenyewe ama ni kwa ajili ya nini?? Sijaelewa mantiki ya blog hiyo ya Cynthia. Ila kwa decorations tu iko poa, contents mhh 10%.
 
Jamani,
mbona huyu anayeitwa Cy Masasi
nimesoma kwenye blog moja hivi
kuwa amekuwa deported from Houston Texas
na sasa yupo Bongo?
Sasa hii shughuli ya website nadhani
haijalishi mtu upo wapi
 
Jamani,
mbona huyu anayeitwa Cy Masasi
nimesoma kwenye blog moja hivi
kuwa amekuwa deported from Houston Texas
na sasa yupo Bongo?
Sasa hii shughuli ya website nadhani
haijalishi mtu upo wapi

Unauliza jibu au swali? Halafu hueleweki kabisa JF siku hizi imekuwa ya ajabu sana karibuni itakuwa kijiwe cha udaku aka ze utamu
 
Back
Top Bottom