Mase has become a Pastor.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mase has become a Pastor....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kingdom_man, Jun 4, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mchungaji sharobaro meeeeen, nasema pepo toka meeeeen
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha! You made my day Kiranja
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Huyu msanii ndio mwanzilishi wa commercial kwenye hiphop.miaka ya karibuni amekuwa akitangatanga sana mara kaacha muziki wa dunia mara akarudi tena na mkito mkali ninao uzimia sana welcome back akipigiwa chapuo na mshkaji wake p didy,tukasikia hatakuwepo Bad boy amejiunga G unit then akapotea na kuibuka na hayo ya uchungaji!
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  HUYU,hana lolote,just confused,baada ya Biggie kuuwawa,yeye alihisi he was next on the hit list,vilevile wapambe wakawa wanamwambia Pdiddy anamu exploit,akaamua kuokoka.When the coast had cleared akaamua kurudi kupitia G-unit where he thought he will carry on where he left-it did not work out-now he is back kivingine a typical case of mid life crisis
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mshikaji mbona anatapata sana.
  Kama ameamua kuwa moto awe moto kama ameamua kuwa baridi basi awe baridi
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Mkuu bado naamini Mase anauwezo mkubwa kuliko vijana wengi wa sasa ila huku kujichanganya hata mm nakiri simuelewi! Lakini Mase ni mkali kwa wanaofahamu muziki na soko hili bado anaweza kuliteka.
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Game limemshinda
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Game lime-tait vibaya!!
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Dah Mase kaamua kuwa kama K basil maana K basil ni ful mchungaji
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Heeeee!!!!!
   
 13. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi kwanini mtu ukitangaza umeamua kumfuata Yesu haraka watu wanakimbilia kusema umechanganyikiwa?
   
 14. H

  HaidarChams Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Kaona uchungaji unalipa.
   
 16. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli upastor unalipa tena sana kwa sababu malipo yaKe sii pesa bali ni uzima wa milele. Hamkumuona Petro alivyoitwa na Yesu? Kama ambavyo Petro aliyekua mvuvi akaambiwa na Yesu kuanzia leo utakua mvuvi wa watu, ndivyo alivyoambiwa Mason (Mase) kwamba kuanzia sasa hutaongoza tena makundi ya watu kwenda jehanamu kupitia muziki wako bali utawaongoza kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni kupitia Neno la Mungu. Na ndicho anachokifanya sasa. Kweli Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo atukuzwe....na wote wasemeeee....AMEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Amen to that Paulo!!!!!..............
   
 18. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  safi sana Mase, Mliochangia wote hamfahamu Yesu Krsitu.
   
 19. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni mmoja wa watu waloteuliwa na mungu kuifanya kazi yake,
  ndo maana anenda kwa mungu then anarudi tena kwakua anasita sita nakuonekana anatanga tanga.
  Hata yona alifanya kitu hicho chicho ila mwisho wasiku kama mungu kakuchagua utarudi kwake tu ndo ninachohaamini, pia kila jambo na wakati wake, wakati ukifika hakuna kubisha.:A S-omg:
   
 20. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  In the world of hiphop he is legendary natarajia atakuwa na mahubiri ya aina yake.nitajitahidi kumfatilia maana ana influence kubwa kwa vijana.
   
Loading...