Wanakotoka mastaa bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanakotoka mastaa bongo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Safety last, Jun 2, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sina maana ya ukanda ila mikoa ya LINDI, MTWARA DODOMA KIBAHA,MBONA HAIZALISHI MABINTI AMBAO NI MASTAA AU WANAOWAKILISHA TAIFA KWENYE MAMBO TOFAUTI TOFAUTI mf riadha ,umiss taifa,BBA,Utangazaji ,nk
   
 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waulize asilia yao, usiwaone hapa Dar ukafikiri ni wandengereko, wengine wapangwa, wanyakyusa na hata wamakua wapo
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Si kweli, fuatilia asili ya kila mmoja.
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe kuna mkoa unaitwa kibaha? Mbn mimi ni star na nimetokea sehemu mojawapo kati ya hzo ulzoztaja?
   
Loading...