Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Oya nyie vijana wageni mnaotoka na wanawake classy embu acheni kuonesha mnaweweseka public. Hapa Hamisa ana muinjoy tu Ki. Huyu Hamisa ana akili sana. Ampopoe tu.
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam...
18 Reactions
89 Replies
5K Views
Kuna wachekeshaji mnawaimba sana na komedi zao za kulazimishana kucheka ila kwa huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi Pata muda wa kumfuatilia ujionee picha nawaletea sun
2 Reactions
10 Replies
950 Views
Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila...
15 Reactions
75 Replies
6K Views
Pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na bi Christina shusho hakika mkishakuwa wazazi lazima mkutane kwenye matukio kama haya haijalishi mmetengana.
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake...
4 Reactions
88 Replies
28K Views
Mnayakumbuka haya;mahujaji kadhaa wameamua kuswali kwa ajili ya yote aliehusika na matatizo na usumbufu wa mahujaji waliolala pale airport ya dar es salaam; kazi kwelikweli Makala Nakala...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Distance: Lady Jaydee Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Hili bifu naona limevuka mpaka sasa, yani ukiona kuna bifu mpaka kufika hatua ya kukataa kuzikana ujue hilo bifu si la kitoto. Ila ninachojiuliza mimi , bifu lao ni hiyo tuzo tu au kuna lingine...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki Suma Lee Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
10 Reactions
83 Replies
5K Views
Huyu presenter wa eatv kipindi cha 5 select Fevushka ananibamba sana kuanzia sura na appearance kwa ujumla(modo) ni aina ya sampuli ya wasichana wenye sifa zote zinazonivutia in short she is my...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Baada ya Rihanna na Katy Perry na Pitbull, Justin Bieber alipwa shilingi bilioni 26.4($10 mil ) kutumbuiza katika shamrashamra za harusi ya mtoto wa tajiri namba moja India na bara la Asia kwa...
39 Reactions
258 Replies
12K Views
Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu habari za leo? Nimepata mtafaruku wa moyo sana leo kuwaza ni kipi kimewahi kua kipindi bora zaidi cha Radio na Television hapa nyumban Tanzania. Kwa upande wa Television kwangu vipindi...
5 Reactions
73 Replies
13K Views
Ukiwa strategic person basi mafanikio yataflow kwako kama maji ya mto yanavyoingia baharini yaani ni mwendo wa blessings mpaka unamuuliza Mungu why me! Sasa Kuna dada zetu waliingia kazini miaka...
38 Reactions
170 Replies
12K Views
Nmepita pita kwenye mtandao nimekutana na picha za sherehe ya HARUSI ya kuolewa kwa BINTI ya muheshmiwa Rais wa Zanzibar Ndugu Hussein Mwinyi. Nmepatwa kiu ya kujua huyu mshaikaji aliepata hii...
23 Reactions
134 Replies
14K Views
Video kuwa na budget kubwa haimaanishi kuwa itakuwa bora Kuna utofauti mkubwa kati ya video ya gharama na video iliyo Bora. Kwa mtazamo wangu ambao sio lazima Kila mtu awe nao kwangu Music video...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom