Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_ Hapa director folex katisha...
29 Reactions
106 Replies
7K Views
Pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina niwatakie maandalizi mem
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kufa tutakufa kikubwa kujiandaa ,Asalam aleykum wanajukwaa hiyo ni salamu kwenu. Tafadhali nina shida na namba za simu au mawasiliano ya aina yoyote kwa wasanii wafuatao nahitaji ikiwa unazo...
4 Reactions
11 Replies
823 Views
Mimi sio mpenzi wa miziki ya vijana japo utakuta bar na harusini ila huyu mtoto anapaswa kuogopwa japo kijana mwenzake alikiba ni mtu wakukunja sana kama ulivyo asili ya mkoa wao walipotokea. Kwa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
8 Reactions
100 Replies
10K Views
Wadau kumbe kuna kuzeeka aisee, huyu ferouz hatumii vitu kweli mbona kama age imeenda sana aise. Unaweza kusema kikongwe, maisha kweli yanabadilika.
17 Reactions
125 Replies
8K Views
Hawa wasanii sijui wakoje kila siku nikuomba misaada, kama huyu.
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Babajide Adebanjo amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa ku-Twerk Muda Mrefu zaidi. Alicheza kwa masaa 3, dakika 30.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Diamond - kabila lenye asili ya Morogoro anaelijua atujuze Alikiba - Mhehe Rayvanny - Mnyakyusa Harmonize - Mmakonde Niki Mbishi - Mkurya Young Lunya - Mzaramo Bilnas - Mchaga
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
4 Reactions
82 Replies
9K Views
Ngoma za wasanii hawa wawili zinapishana katika playlist yangu muda huu, nashindwa kuamua nani ni mkali kwani ngoma zote ni za moto. Mdau wa muziki wa kizazi kipya, kwa sikio na jicho lako, yupi...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
14 Reactions
91 Replies
9K Views
Harris Kapiga Nimeona Clouds TV ni kitu kama Haris kapiga anaagwa kistaafu kufanya kipindi Cha gospel pale Clouds TV. Nadhani amepandishwa cheo, kuna na wasanii mbalimbali wa injili wamealikwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka. Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz "Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
17 Reactions
77 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la HIP HOP Mwana mziki wa Hip hop P mawenge a.k.a P the Mc katuacha na mshangao wadau na wapenzi wa muziki wa hip hop baada ya kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la NAHAMIA...
7 Reactions
294 Replies
23K Views
Hawa ndio wasanii Wakali wa Bongo fleva ambao hawazingatiwi na hawana ukubwa unaoendana na vipaji vyao. Ibra nation Kayumba mbossie Michu Mayunga Mapanch Bmb Mattan Bluce African Fobby Pasha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home, Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kipindi hiki cha mwaka 2002 nilianza rasmi kufatilia mashindano ya wadada warembo, nilimshuhudia Madam Angela Damas akiibuka mshindi na kuchukua taji la Miss Tanzania 2002. Nilipenda zaidi jinsi...
4 Reactions
26 Replies
10K Views
Back
Top Bottom