Another motivating story from Nayce Moshi

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,492
Ukiwa strategic person basi mafanikio yataflow kwako kama maji ya mto yanavyoingia baharini yaani ni mwendo wa blessings mpaka unamuuliza Mungu why me!

Sasa Kuna dada zetu waliingia kazini miaka ya tisini ila mpaka siku ya leo bado wapo kwenye position zile zile yaani umri unazidi kwenda ila kazini kama alikuwa secretary enzi anaanza kazi mpaka leo ni secretary sasa nyie mna mengi ya kujifunza kutoka kwa Nayce kabla hamjageuzwa wafanya usafi baada ya kustaafu.

Nayce Moshi Juzijuzi alikuwa kondakta ila leo ni PR(public relation) wa Tilisho twende taratibu tutaelewena. Kama unafikiri ni jambo jepesi basi think twice.

Kila la kheri Nayce Moshi kwenye majukumu yako mapya

Screenshot_20231126-194558.jpg
 
Mbona mapema sana kuanza kumwagia sifa..?
Mkuu safari ya kiuchumi ni ndefu kiasi na humgeuza au kumfunza mtu,huyu Sasahivi anatakiwa atulize hicho kichwa chake huko makazini Kuna fisi na mafisi nafikiri naeleweka,ndugu usitukane watu kwakuona hatua Tano za huyo bidada huku ukisahau waliopiga hatua kumi!,kilichowaangusha wale kinaweza kumuangusha nayeye muacheni kwanza na hata akianguka asisemwe vibaya bado safari...
 
Haters mshaanza.. kwani alichonacha na makondakta wengine wa kike si wanacho.
Je ni yeye peke yake kondakta wa kike ambaye ni strategic person?

Unaweza kuthibitisha kwamba makondakta wengine wa kike sio "Strategic" ndio maana hawapati mafanikio?

Unathibitisha vipi kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
 
Mbona mapema sana kuanza kumwagia sifa..?
Mkuu safari ya kiuchumi ni ndefu kiasi na humgeuza au kumfunza mtu,huyu Sasahivi anatakiwa atulize hicho kichwa chake huko makazini Kuna fisi na mafisi nafikiri naeleweka,ndugu usitukane watu kwakuona hatua Tano za huyo bidada huku ukisahau waliopiga hatua kumi!,kilichowaangusha wale kinaweza kumuangusha nayeye muacheni kwanza na hata akianguka asisemwe vibaya bado safari...
Dalili njema inaonekana mapema Tilisho ni kampuni kwa maana ina watu makini kumpa hiyo nafasi maana yake wameona anastahili.. means hata shule atakuwa ameenda kwa ajili ya hiyo position yake mpya.

Sasa linganisha na dada zetu wenye umri kama wake wengi wao unakuta tayari washakuwa single maza wanasimama kukimbiza ndoto zao sababu ya malezi ya watoto
 
Je ni yeye peke yake kondakta wa kike ambaye ni strategic person?

Unaweza kuthibitisha kwamba makondakta wengine wa kike sio "Strategic" ndio maana hawapati mafanikio?

Unathibitisha vipi kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
Influence yake kwenye mitandao ya kijamii ni miongoni mwa sababu na hiyo ndio strategic yenyewe sasa
 
Huyu mleta mada namwuliza hivi..

Kama siri ya kufanikiwa ni kuwa "strategic" Je Makondakta wengine wa kike hawakuwahi kuwa strategic persons?

Kwamba huyo Nayce Moshi ndio strategic person kuliko wanawake wote?
Facebook account yake ina followers laki na utambulisho wake mkubwa ni kondakta wa Tilisho hizo numbers kwenye biashara zina maana kubwa.

Mi kwetu Namtumbo ila kupitia Nayce niliweka nadhiri nikisafiri kwenda Arusha nitapanda Tilisho
 
Huyo dada amepata advantage ya hana aibu na pia ya age yake kumruhusu kuenjoy social media.

Kupata followers Laki 6 instagram chini ya mwaka mmoja sio kazi ndogo.

Zai kijiwe nongwa anapendwa na watu wengi ila hajafikisha hata nusu ya idadi ya followers alionao nice. Na wanazidi kujaa kila siku

Tik tok ana followers zaidi ya laki 5 pia.

Pia Huyo dada ni mchangamfu Watu wa riverside wanamjua tangu enzi anakatisha tiket za ma bus kwenye fremu za riverside... Nice ni binti anaeishi kibinti.. kujipiga piga picha na kujipost post ndio anachopenda. Haigizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom