Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida Wanjara. She is still looking young and energetic, kumbe wakuu kujitunza muhimu Maana Dada zetu wengine...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa...
5 Reactions
7 Replies
970 Views
Sisi Wachaga waishio DSM tumeweka kikao na kuwaita wazazi wake na binti waje wa tueleze kama wanafurahishwa na anachokifanya Mwijaku kwa kwa bint Alice Kitendo cha kumuweka bondi bint yetu ni...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Christian Gregory, who created the character "Chakubanga," published in UHURU from 1967 onwards. Chakubanga is a barefoot, urban dweller, street smart and knowledgeable about the problems that...
3 Reactions
27 Replies
16K Views
Naandika haya baada ya kuibukia huko Arusha kwa kiongozi mmoja wa dini mwenye utata mwingi akitafuta kuombewa kwakuwa anajihisi ana mikosi, mambo yake hayaendi na pengine kuna watu wamemsagia...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
4 Reactions
53 Replies
12K Views
Hivi huyu Manguruwe ni nani na katokea wapi? lengo lake nini? Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu. --- Siku chache baada ya mfanyabiashara na mmiliki wa mradi wa...
14 Reactions
49 Replies
9K Views
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo. But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana. Vip Kwa sasa wanatamba...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
kuna clip inaonyesha mr nice akiapishwa freemasonry na mwenzake alafu cha kushangaza soski za mikono wamepeana mmoja kabaki na kulia mwengine kabaki na ya kushoto. Mfuko wa wastaafu uboreshwe...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Yani wabongo bana wakishakamata vijichenji kidogo fujooo na kuanza kuringishia. Aliyekuwa mpambe/mlinzi ama bodyguard wa msanii maarufu nchini Diamond jitu lenye miraba minne Mwarabu fighter naye...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukifanya uchunguzi yakinifu utagundua kuwa hawa vijana wamekataa kulima na wameamua kuforce kuishi mjini.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake . Kwa maana rahisi “Sure we had our hardships, but I would never...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu bila shaka siku inaenda kadri mwenyezi Mungu anavyojalia. Nisiwachoshe Kwa maneno mengi, naomba niende moja Kwa moja kwenye mada. Binafsi nimetokea kuvutiwa Kimuziki na hili kundi la...
3 Reactions
4 Replies
785 Views
Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Sisi wengine mambo ya siku hizi hayatunogei. Bora tukumbukie ya zamani tu! Kwa wafuatiliaji wa game hii ya burudani, watakumbuka jinsi Prof Jay alivyokuwa akiburuzwa na penzi la mwanadada...
50 Reactions
262 Replies
84K Views
Wanawake wana dunia yao kimavazi, na nadhani wanahitaji kuwekewa "brake" maalumu duniani kote. Tukiendelea hivi, baada ya miaka 5 wanawake watatembea uchi wa mnyama. It is too much! Hebu mtazame...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom