A world of caution to DmX & FABOLOUS...
Look dog,here's real deal we are local artist called 'antivirus' in a movement against local promoters bringing you to Tanzania.
The antivirus movement...
vinega ni gumzo kila kampac za vyuo hapa mujini, lakini jiandaeni na wimbo wa kuuponda muzwada wa katiba mpya vinginevyo hatutawaelewa. Hicho tu kitatupagawizha ile mbaya. Ud leo watu wanapeaana...
King of rhymes,king of all the times,the legendary himself,Darubini hitmaker baba Tunda Afande sele baada ya kumkacha Sugu atakuwepo jumamosi mtu mzima ndani ya str8 music atajumuika yeye na...
Haya sasa muda wa kumkomboa msanii ni pale ustawi jukwaa limeanza kufungwa big sound big stage for local artist sio hadi aje fatjoe huu mziki hakuna anayeumiliki tunataka msanii alipwe vizuri...
Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.Sugu vs Ruge
2.Vinega vs T.H.T
3.Sayansi vs Leaders
4.Deiwaka ent vs Sweet music
5.Dj Jd vs Dj...
Huu ni ushauri tu ruge(Manager clouds) ni mnafiki sana alikua apigi kabisa nyimbo za LWP,Manzese Crew,Afande Sele lakini sasa ameanza kuzipiga na kutangaza kwamba watakuwepo kwenye tamasha...
Picha: Rosemary Mwakitangwe akiwa kwenye moja ya midahalo inayosimamiwa na VOX MEDIA...
Wakuu nimetokea kumkubali huyu mwanamama kwa hasa anapokuwa kwenye ile midahalo ya "THE TANZANIA WE WANT"...
Tafadhali wakuu naomba kufahamishwa mahali walipo na nini wanachofanya siku hizi wasanii wafuatao:
1. Crazy GK
2. O'Nell(kama sijakosea) aliimba wimbo 'Posta, posta city center'
3. Kali P
4...
Hivi kuna msanii wa Bongo ambaye hajamuimba CHIEF KIUMBE? Ni mdau na mfadhili mkubwa wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya na dansi...yeye ndiye mmiliki wa Extra Bongo ya Ali Choki,
Sasa naona...
Heavy D was remembered with laughter and tears Friday during a funeral service included humorous anecdotes from longtime friend Diddy and words of encouragement for his young daughter, delivered...
according na Sugu na kundi lake linalijiita VINEGA wamemshutumu msanii wa Kizazi kipya Mwan Fa kuwa amewauza na kuchukua mill 30 toka kwa ruge mutahaba ili awasaliti na kujiunga na Tfu
Zilitolewa hapa:
http://www.u-turn.co.tz/index.php/kwanza/2364-kina-dada-tujihadhari-na-hili-jamaa#JOSC_TOP
baadae hawa jamaa hapa chini wakaicopy kabla haijafutwa
Mange vs Gay dude - Wazalendo...