ROSEMARY MWAKITANGWE WA VOX MEDIA(The Tanzania we want)

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
mwakitwange-rose1.jpg

mwakitwange-rose2.jpg

Picha: Rosemary Mwakitangwe akiwa kwenye moja ya midahalo inayosimamiwa na VOX MEDIA...

Wakuu nimetokea kumkubali huyu mwanamama kwa hasa anapokuwa kwenye ile midahalo ya "THE TANZANIA WE WANT" nataka kujua CV yake na anafanya kazi gani nje ya hii ya midahalo na je ameolewa maana nimeona post moja hapa JF wakisema ni miss...
 
Attachments

  • IMG_2506-1024x683.jpg
    IMG_2506-1024x683.jpg
    79.5 KB · Views: 154
  • IMG_2528-1024x683.jpg
    IMG_2528-1024x683.jpg
    59.8 KB · Views: 161
hudhuria mijadala yake na ukipata muda muulize mwenyewe atakueleza...unataka kuoa? ongea naye kama yuko single huenda akakuonea huruma.
 
hahahahahahaha...yuko pouwa sana huyu mama...nilianza kumjua kipindi yuko T-MARC..then nikafanya naye kazi pale New Habari Corp...ana mtoto mmoja kama sikosei..ila anapigika..ukijipanga vzr
 
hudhuria mijadala yake na ukipata muda muulize mwenyewe atakueleza...unataka kuoa? ongea naye kama yuko single huenda akakuonea huruma.

Mkuu sio kunionea huruma atakubali tu..ila lengo si hilo nataka kujua maisha yake kwa ujumla,ni kati ya wanawake wachache wenye uwezo mzuri wa kujieleza in short anajiamini....
 
View attachment 41740View attachment 41741
Picha: Rosemary Mwakitangwe akiwa kwenye moja ya midahalo inayosimamiwa na VOX MEDIA...

Wakuu nimetokea kumkubali huyu mwanamama kwa hasa anapokuwa kwenye ile midahalo ya "THE TANZANIA WE WANT" nataka kujua CV yake na anafanya kazi gani nje ya hii ya midahalo na je ameolewa maana nimeona post moja hapa JF wakisema ni miss...

Ina maana uwepo wa Internet bado haujawasaidia wengi wetu kupata information tunazohitaji? au ndio ukiwasha computer ni facebook na JF tu?
OK gonga hapa: rosemary mwakitwange - Tanzania | LinkedIn
 
hahahahahahaha...yuko pouwa sana huyu mama...nilianza kumjua kipindi yuko T-MARC..then nikafanya naye kazi pale New Habari Corp...ana mtoto mmoja kama sikosei..ila anapigika..ukijipanga vzr

ndo alikaribia kuuwa tmarc wakamfukuza...gari ya tmarc dfp inashuttle kwenda kumleta boyfriend dodoma anapiga kazi jtatu alfajiri inamrudisha dodoma..hahaaaa
 
huyu dada mi nimeanza kumjua kwenye hi midahalo ila ana mdogo wake anaitwa fedrick mwakitwange aliwahi fanya kazi TCC...wanatoka familia bora sana hawa vijana ndo maana dada anaupeo mkubwa
 
mhhh, hiyo kiboko, lkn si alikuwa anweka mafuta kwa gharama zake mwenyewe? kumbe anapenda duduz sana, mpaka anaifata dodoma?
ndo alikaribia kuuwa tmarc wakamfukuza...gari ya tmarc dfp inashuttle kwenda kumleta boyfriend dodoma anapiga kazi jtatu alfajiri inamrudisha dodoma..hahaaaa
 
Mkuu

Kum empress na kum manage Dada kama huyo Lazima uwe vizuri KABISA.

... FIRM CHARACTER ...with KINDNESS!
...STRONG ...RIGHT strong... not The wrong strong.. With wrong strong you will empower her ...na Hutamuweza!
....TOUGH ..Right toughness in Thought, action and expression..
.... If and If and only if she will detect any inferiority from your side ... YOU ARE DONE!! ...
.... With Her POWER in the media, public..etc .. She Still want to be Woman.. She needs to GIVE IN ..To a Right STRONG MAN ...If You show weakness ..That means ..SHE BECOME MORE POWERFUL IN YOUR PRESENCE ... That is exactly what she is baden-ed of! ... she needs someone to lift it away from her... And Mkuu inawezekana ni wewe maana wengi wameshindwa!!
 
Wanawake wa kinyakyusa wa kaliba ya Mwakitwange walioolewa hawafiki 50 Tanzania. Kama unadhani utani kamwoe uone utakavyotoka nduki bila ya kufukuzwa!

Strongly Agree!!!! Hasa kama ni mnyakyusa wa Tukuyu ama Kyela ndio kabisaaaa, na wengi wakidumu sana katika ndoa basi mume lazima atangulie kufa na kumuacha mke. Nimefanya utafiti katika hili soon nitakuja na paper kamili juu ya findings
 
Back
Top Bottom