Boyz 2men vs Westlife

Wapwaa.........kulikoni?

Ameanza huyu.............

Oyaaaa peleka upupu wako fb huko ndo kuna mashoro baro humu umekosea.


Na huyu akadakia..................


Yap yap mpe mpe huyo hapa tunajadili maswala ya Kitaifa. West lf Uk.


Kwani hili jukwaa ni la nini vile?

Kwa mtoa mada..............Boyz II Men nawapa kura yangu na hasa kibao chao I don't wanna fall in love again!
 
ni vitu viwili tofauti kabisa kulinganisha B2Men wana fanya RnB
Westlife ni POP.
Kila mmoja ni mkali kwa style yake anayoitumia, ukizungumzia mafanikia ya B2Men lazima umtaje Babyface maana asilimia 85 ya nyimbo yeye ndio mwandishi wake.
 
me just love them so much,kwakweli naweza kesha naskiza
boyz2men walivokuja now yani kiboko...wamekua wababa na mvuto plus
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom