Ruge ni mnafiki kweli wasanii kuweni makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruge ni mnafiki kweli wasanii kuweni makini

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Nov 24, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huu ni ushauri tu ruge(Manager clouds) ni mnafiki sana alikua apigi kabisa nyimbo za LWP,Manzese Crew,Afande Sele lakini sasa ameanza kuzipiga na kutangaza kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,Mtu wa kwanza kutangaza hao wasanii ni sugu kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,Wasanii kuweni makini na Ruge,Sugu kamshika pabaya so anatafuta kila njia avunje muungano wa wasanii wapinga unyonyaji,anawagombanisha na sugu then anakumwaga

  Nawasilisha
   
 2. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ruge atachemka tu usicheze na Sugu!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  26 Nov ndio jibu nani zaidi na nani yu upande wetu deiwaka na swahiliface..
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sugu kamshika pabaya anaemea pua moja sasa
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ant-virus with no apology
   
 6. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ANTI-VIRUS MIXTAPE 26TH NOV, WITH NO APOLOGY ******* Zao. 28-58 Over
   
 7. K

  Kalila JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  with no apology ruge ni snitch kawatukana then anawalamba miguu naskia amewapa pesa ndefu ila hao misukule wanamsifu sana sugu coz hawajawahi kulipwa pesa nzuri na ruge ila wamehaidi wakitoka huko wanakuja ustawi. Sasa anapambana na jamii sio sugu tena naona kusaga yupo kimya sijui kasanda
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama kawalipa vizuri ilo ndo lengo la sugu kwanini wasanii wanaingiza mamilion halafu ruge anawalipa elfu 50? Movement ishaanza ruge&kusaga wameshikwa pabaya tunasupport wazalendo ant virus with no apology day26
   
 9. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Akamuulize Kandoro.
  Anachezea kimbunga. Kitamkumba!
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sugu ni kama mvua, ikiamua kunyesha.............
   
 11. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  [h=6]Anselm Soggy The-Entertainer
  ‎-Baada ya kutosikiliza Radio yao kwa muda mrefu leo asubuhi nikasikiliza kumbe kiji-show chao wame-copy LIJI-SHOW LETU?Unazungumziaje Majembe ya hip hop Bongo bila Sugu,Soggy,Mabaga,Mapacha,Hardmad,Big Doggy Pose,Suma-G,Mkoloni,Sister-P,Hisabati,Snare,Daz Nundaz,Rama-Dee na wengineo?Hii Radio ya Wafu si inapromote Wasanii wapya tu?Imewakumbuka nini wa zamani?Nov 26 njoon i Chuo cha ustawi kiingilio elfu 5 tu[/h][​IMG]Share · Yesterday at 9:27am via BlackBerry ·


  • 23 people like this.

   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Ntukula Boaz tunakuja kaka.na siku hiyo machoko wa magorofani na teja lao dmx watasanda na mziki mnene na full mataa on stage kudadadekiYesterday at 9:30am


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Fredy 'Tayasar' Mizambwa Ha ha ha! Vnega nuxYesterday at 9:34am


   • [​IMG]

    Lyamuya Chif Zeph naamini Mungu husimamia haki tarehe 26 hawa mavirus lazima wakae najua watafanya mipango kuharibu lakini Mungu atatusimamiaYesterday at 9:35am


   • [​IMG]

    Paul Joseph Tarimo Mia mia vinega lazma ntie timYesterday at 9:35am


   • [​IMG]

    Eric Shiyo sana tu lazima tukinukishe 26 Nov!Yesterday at 9:46am


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy AFU NA YULE ANAJIITA AFANDE MBNA CMSOMI!?Yesterday at 9:50am


   • [​IMG]

    Aliko Mwaikambo wanafiki hao soggy cos mbona ni muda mrefu sana wamewatenga so kama na hao wanao jiona kuwa ni vigeugeu maana ita kula kwao kwa vipesa vya siku moja badala ya kukomalia mziki wa kweliYesterday at 9:56am


   • [​IMG]

    Aliko Mwaikambo na pia watakao kwenda huko ni wauza sura 2 hata afande anatakiwa kuwana mkubwa wake cos anasahau sugu aliko mtoaYesterday at 9:57am


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy MARCO' WE NDO UJIPANGE! HUJUI UNACHOKIANDKA CHUNGUZA KWNZAYesterday at 9:58am


   • [​IMG]

    Jackline Charles Marandu duh! Yesterday at 9:59am


   • [​IMG]

    Anselm Soggy The-Entertainer Dravic huyo Marco ndio sio Mzalendo nimeamua kum-removeYesterday at 9:59am · [​IMG] 2McGum Cippo and Dravic Kinega Moudy like this.


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy KTK RATBA MWNZO HAWAKUWEKA LIST Y WASANII WALIOPTA WIKI HII NDO WAMEWAONGEZA' HAHAHAHA, SHAME ON ZEM WAAAFU FM!23 hours ago


   • [​IMG]

    Matilda Kivelege Nawaombea ktk hili....ebu tuonyeshe uzalendo wenzetu coz wakilipa kodi wote twapata ama sio. Zay B wapi kwani?23 hours ago


   • [​IMG]

    Jane Vanila Teh!23 hours ago


   • [​IMG]

    Peter Dafi Yer, vinega wa Ant-virus km kawa harakati co? Big up Jembe...23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Afande ni maku kwel kwel yaan sugu kamtoa mbal anashindwa kusupport alakati?Ila pamoko vinega never give up23 hours ago


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy MATILDA' ZAY B NDANI J'MOS23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Jackline unaguna nn dada?njoo viwanja vya usitawi dada km upo dar akina Sr.P na zay B wapo husiofu23 hours ago


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy AFU WALISHAM2KANA HEWANI LIVE BILA KIFICHO23 hours ago


   • [​IMG]

    Matilda Kivelege Duuuh muite na magari ya FIRE patawaka motoo hapo jamen23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Yaani ni noma co fire tu waite jeshi maana police hawatoweza mziki kwan wafu fm lzm waweke mamluki kibao kuharibu show.....wanaanya mbaya na mpaka ss wametumia Hera kibao bila mafanikio23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Yan 2mekod costa cku iyo from tanga 2 dar kwny show yakizalendo, soggy kwa mara ya kwanza na2kana Afande ni shoga mamae zake.23 hours ago


   • [​IMG]

    Belinda Rugarabamu jamani pig black yupo?23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Fine masoud mpe jingine bwabwa hy23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Berinda umekumbusha kichwa muhimu! mbaya nn mnataka mazee!23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Ebwna soggy Sarafina wa kibanda cha cm ckuiyo nae anatakiwa ndani ata kam kaolewa au ana kachanga cha mwz23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Cjuh yupo wapi huyo nguruwe mweuc......soggy tusaidie wapi huyo jamaa?23 hours ago


   • [​IMG]

    BaraKa KizuGuto kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo, afande kafulia anaishi kwa nguvu za macho, dj demu yule wa wafu fm alimdiss kichzi wiki nzima ktk kipindi ooh msanii gani mchafu, msanii kaishiwa lkn leo hii karudi tena hko??? kapotea kweli swahiba anazani atapewa tena U king wa ryhmes???23 hours ago


   • [​IMG]

    Victor Karia kama waliotajwa hapo juu hawakuepu naona walikuwa wana watangaza wasanii wapya na co waasisi wa muziki wakat huo hvyo kama wanapaswa wabadili jina au kama jina la kipindi wameshindwa bas wawape wasikilizaji watoe maoni!!! BONGO FUL KU COPY NA KU PASTE!!!23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Hahahahaah baraka22 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Kevin Awitti Yaani sijaamini kuwa watu fulani ni masnitch mazima.Wanatosa Vinega kwenda kwa wafu??Na baada ya hapo watatoswa tu na wafu.Sio siku nyingi dada yetu fulani katosa kundi fulani kipindi cha uchaguzi sasa anataka kurudi na hatakikani!Vinega wanafaa kufanya show A city na Mwanza kwa akina George Tibaijuka waone support wataopata!!22 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Kwel kwel Kevin wakuje huku tunawasubilia kwa hamu sana22 hours ago


   • [​IMG]

    Hassan Mwili Jumba Mhando Mi sitaki kiuamini kwamba MGANBO SELE amemtupa SUGU, hii haiwezekani....yaahi Mganbo Sele anaona WAFU ndo wa kuwapa shavu. naye kumeb ndo mana kama amekufa tu maana hatumsikii.21 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Kamtupa kiukwel ukickiliza cloud wanamrusha na yy@hassan20 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Sele siamini kabisa lakini ndio hivo.The movement is on!!20 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Mpaka Kala pina naye maku anaongea ungese tu hapa20 hours ago


   • [​IMG]

    Hassan Mwili Jumba Mhando Dah kama ni Hivyo kumbe Mganbo Sele naye ni **** kabisa, tena MAKU.....Nakumbuka nyimbo yake moja Mgambo Sele anasema, "Nauliza vipi SUGU, mchizi anawaka mchizi anasikitika, Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka, duh mimi nastuka mwili unatetemeka miguu inakosa nguvu nahisi kama naanguka, KWA VILE BILA SUGU HAPA NILIPO NISINGEFIKA" kumbe anajua kuwa bila SUGU hapo alipo asingefika , SASA KWANINI HAMPI KAMPANI???19 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Rick Pangani Looh
    Anti virus.ni poa.19 hours ago


   • [​IMG]

    Said Ambua yap salute18 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Eti Kalapina pia?Makubwa!!Lakini ujumbe umefika.Kwa vike bila Anti Virus wasingekua waliko sasa hivi na wafu.Msg delivered:Anti Virus for life!!!18 hours ago


   • [​IMG]

    Rachel Balilemwa Nw nmeelewa,asubuh ilnpta kushoto.

    hello 2 snitches17 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Kala piña mngese sn Leo alikuwa kwenye interview na hao machoko eti anasema anataka pata exprience kwa kufanya show na DMX......mamamaako Kala na kikoc cha mashoga chako17 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Kupata experience ya kufanya nini?Kufuga mbwa au?Mtu hujasikika hata Kenya itakua experience gani?16 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Senge tu lile eti linataka kumfunika huyo teja wa USA16 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Hacha Kenya......Kinondoni tu kakosa udiwani sasa badala akae karibu ns mbunge ajipange kwa mwaka ujao yy anaenda kwa machoko kisa laki moja16 hours ago


   • [​IMG]

    Mwatoum Mdengor wat weweeeeeee mtunza kwao bwana sio kila siku wamarekani wanini sie tupa kule16 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Nn kinaendelea huko redioni?mtujuze mnaoaccess matangazo hayo15 hours ago


   • [​IMG]

    Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago · [​IMG] 1Loading...


   • [​IMG]

    Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Mohamed upo sawa kabisaaaa waambie kiburi co kitawaponza hao wafu fm
   
 12. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi ruge anaandaaa airtime kibao za kumponda sugu,na anaye mtumia ni kala pina wa kikosi cha mizinga,anasema yeye ndio muhasisi wa hip hop.
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mi nilidhani husikilizi radio ya watu kama wana cmd wenzako wa jf ....

  Btw mnafiki hapo sio ruge.. Wanafiki ni hao wasanii ambao wamemtosa sugu .... Na wanahudhuria tamasha la ruge


   
 14. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wa TZ wote wanafiki na wabinafsi sana, hakuna hata mmoja wa maana!
   
 15. M

  Madoido Senior Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  virus versus antivirus? mpango mzima jmosi bamaga, yaani asikwambie mtu nafeel kama siku zinachelewa vile...full mzuka..uzalendo mbele lazima tusapoti mcs wetu wa nyumbani

  chaoo
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Manager hawezi kushindana na Rais wa Mbeya
   
 17. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Muziki kama siasa. Wadau/mapromota kama wanasiasa. Wasanii kama wapiga kura. Wanasahaulishwa haraka dhuluma na shida zao kwa kofia na kipande cha kanga. Wanashindwa kutumia fursa hii kufanya mapinduzi ili wanufaike kama wenzao wa nchi jirani na za huko mbele. Nafasi hii ikipita watajuta sana kwa usaliti wao. Na nina hakika hata akikosa tena Ubunge, Sugu atatoboa sana katika life. Historia inamshuhudia kama mpiganaji anayeshinda bila Godfather katika lolote analoliamini, kulisimamia na kulipigania.
  Siamini kabisa. Afande Sele-mtu poli ambaye hata Ufalme wa Hip Hop katengenezewa na Sugu leo hii kumsaliti! JMo-We Bishoo Tu sasa amekuwa Famous!, Inspector & Karama hawa wote wamesota na kupotezwa kwa udhalimu wa hao Clouds leo wanasaliti harakati!

  Nchi hii imejaa vigeugeu kila mahali. CC ya ccm-vigeugeu, NEC-ccm vigeugeu, Wanaharakati (Katiba)-vigeugeu, Wasanii-vigeugeu, Wapinzani-vigeugeu, Wananchi nao-vigeugeu. Na wewe mwana JF-Kigeugeu
   
 18. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mpango mzima, kama vipi?
   
 19. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa wao wanashidana nini, sisi ndio tunajua ukweli, sugu ni mkongwe kwenye muziki. kati ya watu waliofanya mapinduzi makubwa ni sugu, ukiacha kwanza unit, sugu ni mmoja ya wasanii alianza kuimba hizo nyimbo kwa kiswahili, maana watu mwanzo walidhani hip hip lazima iwe kwa lugha za kigeni, ndio likafumuka kundi kubwa la wanamuzikiiiii
   
 20. m

  maluguthengosha Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anti virus noma. Me namuomba sugu awaeleweshe kina barnaba.mwacti.rina mataluma. Benpal na wote kwamba hlo jamaa la ccm linawaibia maisha yangekuwa mbal km co wiz wake chakufanya wampige mawe
   
Loading...