Chief kiumbe ndani ya bongo flava

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Hivi kuna msanii wa Bongo ambaye hajamuimba CHIEF KIUMBE? Ni mdau na mfadhili mkubwa wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya na dansi...yeye ndiye mmiliki wa Extra Bongo ya Ali Choki,
Sasa naona kajiingiza katika Bongo Flava na kuimbwa na wasanii kama hussein machozi na wengine wengi good
sasa swali langu ni hili
ni mfadhili wa kweli katika music wa bongo flava au anataka tu kuhujumu kwa intereste zake binafsi coz tumeona wengi wakija kwa gia ya kusaidia mziki wa bongo flava ila matokeo yake wanaua huu mziki
naomba
niwasilishe hili
 
chief kiumbe full bosse,naona amewekeza hadi kwenye mgari ya mchanga,mbona hata qchief prof jay ashawahi kuwafadhiri na pia ana kampuni ya shooting inaitwa KIUMBE ni mdau wa mziki mda mrefu nahisi anawasaidia na si kama hawa mapedeshee wengine wezi(musofe,muzamir,jack unguja,ndama,kizaizai supa tol etc)
 
kwa hiyo swali langu yeye anatoa tu na kuwafadhili ha gain chochote??
na hao waliofadhiliwa wamefika wapi?
 
Back
Top Bottom