Ud, bibo,uztawi,cbe,ifm,tumaini tunaomba mr ii uje na kitu hiki, utatubamba ile mbaya

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,496
12,810
vinega ni gumzo kila kampac za vyuo hapa mujini, lakini jiandaeni na wimbo wa kuuponda muzwada wa katiba mpya vinginevyo hatutawaelewa. Hicho tu kitatupagawizha ile mbaya. Ud leo watu wanapeaana munkali ile mbaya kuuhudhuria hiyo kitu.

Zomea muzwada......
Zomea muzwada.......
Zomea muzwada.......
Watu weweeeeeeeee................................

Patakuwa hapatozhi

Kama kawa mje wanavyuo wenzenu tumaini wamekodi mabasi ya kutosha ni muda wenu sasa kuukomboa muziki sikiliza times sasa sugu hewani
 
Mwanachuo mzima unashabikia matusi.

Vijana wa kitanzania ni janga la kitaifa.
 
Mwanachuo mzima unashabikia matusi.

Vijana wa kitanzania ni janga la kitaifa.
Yani wewe ungekuwa na akili ungejiuliza tuseme wana chuo wote ni wajinga wewe ndio mwenye akili tanzania ya leo sio ya vilaza kama wewe watu wamechoka na wizi wizi wenu wa kijinga aisee.
 
Sugu moto chini mzee ndo huna akili sugu anakubalika nov26 tunaenda kussuport wazalendo antvirus with no apology
 
Yani wewe ungekuwa na akili ungejiuliza tuseme wana chuo wote ni wajinga wewe ndio mwenye akili tanzania ya leo sio ya vilaza kama wewe watu wamechoka na wizi wizi wenu wa kijinga aisee.

kwahiyo wizi utaisha kwa kuimba matusi, wizi utaisha kwa kuimba matusi.

Wanachuo gani, hawajui hata malengo ya kwenda chuo.
 
Kibonde wanted, yeye ndiye aliyeanza bifu na wanavyuo kwa kuwatukana matusi ya nguoni wakati wa migomo akawatukana laivu kwenye media wakaichukia clouds kabisaaaa kwa hiyo ujio wa sugu na vinega tutaonyesha tuko upande wa suguuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari ndiyo hiyo
 
Someni nyie watoto..Sugu hana msaada wowote kwenu. By then, yeye ni form four leaver tu, hayupo kwenye ulimwengu mnaouendea wa wasomi!
 
nawasikia Zay b na Sister P watapanda jukwaani pamoja!! hata mie naenda
 
Someni nyie watoto..Sugu hana msaada wowote kwenu. By then, yeye ni form four leaver tu, hayupo kwenye ulimwengu mnaouendea wa wasomi!
kama walivyo mafisad wa ELIM mabos wako na vyuo vyao visivyoeleweka
 
Someni nyie watoto..Sugu hana msaada wowote kwenu. By then, yeye ni form four leaver tu, hayupo kwenye ulimwengu mnaouendea wa wasomi!

Hah hah hah ama kweli we ni kilaza, kwa hyo ruge atawasaidia vp wanafunzi kwa akiki yko? Fiesta ina miaka zaidi ya 10 je pesa anazozikusanya amewahi kutoa ht tsh 100 kwa watoto yatima? Au amewahi kuutangazia uma msimu mmoja wa fiesta wanapata pesa kiasi gani na zinasaidia vp wanajamii wenye matatizo?
Sugu ni mbuge anaweza kuwasaidia wanafunzi kwa kutetea haki zao bungeni, anaweeza kukutana nao na kuckiliza kilio chao wakati wowote, ndio maana wanafunzi pia wanamuunga mkono katika harakati zake, haiwezekani toka mwaka 1995 mpaka leo msanii anapata tshs 200 kwa tape, wakati tape zilianza kuuza tshs 500 mpaka leo 1500 msanii bado analipwa 200....
Sugu hajawahi fanya biashara na wafu fm lakini ndio mtu mwenye mfanikio kuliko wasanii wote, wa kwanza kupiga show mbele, recording n mastering, kuishi mbele na kurudi, kuuza tape zake bila wadosi,
Hao wana managed na wafu fm wamefanikiwa kp ambacho wanaweza kusema ni faida ya music?

Pia kumbuka elimu sio kigezo cha kuwin maisha, sugu form 4 bt kichwa hao wasomi mbona kawaafunika kwenye ubunge mbeya?
Km elimu maji marefu darasa la saba lakini wananchi wa korogwe wamempa ubunge na kuwatosa wenye elimu?

Sarungi profesa amekosa ubunge rorya kwa kushindwa na lameck airo darasa la saba, so usidhani elimu ni kila kitu, wangapi wasomi na bado vilaza?

Sugu anayajua maisha ya wasanii wa kibongo ndio maana anawatetea!
 
Back
Top Bottom