Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili.
Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi.
Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa...
According to mke wa mjenzi aka mama wa misri
TANZANIA'S TOP 10 FASHIONISTAS FOR THE YR 2011....
sidhali kama waliopo kwenye listi hii watalalamika lakini mnaweza kuiwahi kuicopy kabla wenyewe...
Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina....
Account Suspended
Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
Sikia hii; jamani nimeamua kuirusha hii maana nayo ni habari, eti Kocha wa timu kubwa kama Yanga hajalipiwa umeme na maji hadi akakatiwa....na kwamba timu haijafanya mazoezi kwa siku saba kutokana...
Sugu a.k.a Joseph Mbilinyi pamoja na kundi la vinega wametoa msaa wa gunia 42 za mahindi kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea siku chache mkoani mbeya!
Msaada huo wa gunia 42 una thamani ya mil...
Hey girl, is he everything you wanted in a man?
You know I gave you the world
You had me in the palm of your hand
So why your love went away
I just can't seem to understand
Thought it was me and...
hivi ile nyimbo ya you want another rap, iliimbwa kwel na huyu presdaa jiran wa UG.. Maana nackia kpnd cha kampen alikuwa anatimba mpaka club silk na kuwarusha watu
Joseph Mbilinyi
‎...LEO NIMESALI MISA YA XMAS KWENYE KANISA LA IKUTI KATA YA IYUNGA AMBAKO KULITOKEA MAFURIKO..IT WAS AMAZING!BAADA YA MISA NIKAUNGANA NA WANANCHI KWA CHAKULA CHA XMAS AMBAPO...