Re: Rais museven wa uganda

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
hivi ile nyimbo ya you want another rap, iliimbwa kwel na huyu presdaa jiran wa UG.. Maana nackia kpnd cha kampen alikuwa anatimba mpaka club silk na kuwarusha watu
 
Hio nyimbo iliimbwa kweli na museveni,na aliimba kwa lugha ya kwao kinyankole,na kwenye kampen alikuwa analazimishwa na watu kabla ya kutoa otuba aimbe kwanza,pia alisema anatoa albam nzima hivi karibun na ameishatengeneza nyimbo zote ila bado ajaanza kutoa nyimbo nyingine kwa maelezo ya museven mwenyewe
 
Thanx boss
 
Back
Top Bottom