Mama mchungaji huyu aninitesa mwenzenu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama mchungaji huyu aninitesa mwenzenu.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ndibalema, Dec 26, 2011.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili.
  Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi.
  Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa.
  Ni mateso bila chuki.
  Christina Shusho wanimaliza miye.
  SHUSHO29..00.jpg
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Heshimu ndoa yake, other than that hata uchungaji ni biashara tu.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  umetoa duku duku lako leo haya zidi kununua cd zake ili uburudike zaidi.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kemea pepo hizo!
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Na Iwe Hivyo!
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Halafu we mzushi sijawahi kuona.

  Na iwe hivyo vipi sasa? Mchizi aendelee kupata vishawishi na kula kwa macho bila mafanikio yoyote?
   
 7. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwani nyie mumeelewa vipi? Yeye kasema sauti yake inamkosha, siyo anamtamani kimapenzi. Watu wanaowaza ngono utawajua tu.
   
 8. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hata yeye alikuwa anamaanisha hvyo ngono. Au sio kamilgado nn?
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hivi kashaolewa!!hakika mchungaji anafaidi!loh!ule mwanya wake!!hakika kaumbika
   
 10. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kaolewa na ana watoto 3
   
 11. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  na kazee ka Tra, sio mchungaji

  Shusho na Nkone wananibariki sana
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  anakusisimua, anakumaliza .... mh ebu weka wazi zaid, je ni maneno ya nyimbo zake yanakuingia akilin au kuna lingine maana wengine hapa vichwa vyetu vigum sana na pia unajua kuwa ni mke wa mchungaji
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ananimaliza kwa njimbo zake na sauti yake nzuri hasa anapoimba vesi za 'kupaa'.
  Natamani nimkodi angalau aje anakuja nyumbani kwangu atuimbie mimi na familia yangu, nitafurahi sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkeo atakubali aje akuimbie nyumbani kwako???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa hako kazee ka TRA kama unavyokaita, katakubali kweli kuona mke wake hapa?
  na kwamba kuna jamaa anammaliza?
  hatari jamani!
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mmh nimeona hii clip yake!

  Waimbaji wa Gospel siku hizi unashindwa kujua kama ni dini kweli au ni wapo kibiashara zaidi!
  Bora salama, tutakutana huko huko
   
 17. WISE BOY

  WISE BOY JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 787
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Vp kama angekuwa mkeo halafu mtu kavutiwa nae wakamzungumzia namna hii??? its good to express your feelings but that is limited. Anyway, hilo ni pepo unahitaji maombi.
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ongea naye fresh..shida yako si kuchapa!
   
 19. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kumbe ameshaolewa,naupenda ule wimbo wake wa 'wakuabudiwa'...unanibariki sana.
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Jamani, mi sijaelewa anammalizaje aisee!!!!Una maanisha unataka kumuoa au unataka tamtam tu? Km kumuoa its too late....na km ni tamtam zote ni sawa hata unayopataga hauka tofauti tena waweza kuta uliyoizoea ndo nzuri kuliko ya mama mchungaji......teh
  Ila shemeji asijue unampenda Shushu.
   
Loading...