Pamoja mpaka kieleweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja mpaka kieleweke

Discussion in 'Celebrities Forum' started by I-NGOSHA, Dec 25, 2011.

 1. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  [h=6]Joseph Mbilinyi
  ‎...LEO NIMESALI MISA YA XMAS KWENYE KANISA LA IKUTI KATA YA IYUNGA AMBAKO KULITOKEA MAFURIKO..IT WAS AMAZING!BAADA YA MISA NIKAUNGANA NA WANANCHI KWA CHAKULA CHA XMAS AMBAPO ILIBIDI NIINGIE NYUMBA MBILI TATU TOFAUTI NILIKOALIKWA KUPIGA TONGE NA RAIA...

  NA KESHO TUNAWAPELEKEA GUNIA 40 ZA MAHINDI,IKIWA NI SEHEMU YA MGAO WAO WA TSHS 1,000 KWA KILA TIKETI KUTOKA KWENYE CONCERT YA VINEGA...PAMOJA NA MVUA KUBWA KUNYESHA JIJINI MBEYA JANA,BADO MUNGU ALITUSIMAMIA NA TUKAUZA TIKETI TAKRIBANI 1,200 TU TOFAUTI NA TARGET YETU YA TIKETI 5000 MPAKA 10,000...SO KWA MAPATO HAYA IYUNGA WANAPATA MILIONI 1.2 AMBAZO SI HABA NA NDO ZITATUMIKA KUNUNUA MAHINDI HAYO KESHO....

  N.B:ANTIVIRUS NI POSITIVE MOVEMENT...KAA TAYARI KWA PROGRAM ZETU ZA KIJAMII ZINAZOKUJA KUPITIA MOVEMENT HII,NA NI MATUMAINI YETU KUWA TUTAENDELEA KUWA PAMOJA MPAKA KIELEWEKE...Holla a yo MP!!!

  [/h]
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Poa, hiyo ndiyo jamii shirikishi, wawakilishi wanapokea mpaka mialiko ya kupiga tonge finyango uswazi! hadi raha. mikakati inatekelezwa kupambana na njaa bega kwa bega! untivirus is running on top of operating system. Sugu moto chiniii, yo! yo! yo! yoooooooo!
   
Loading...