Jamani Jamani

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Kuanzia mwezi wa sita wakazi wa mkoa wa PWANI hawaja wahi kupata usingizi siku za wiki end wadau naomba 2jadili.
 
Kuanzia mwezi wa sita wakazi wa mkoa wa PWANI hawaja wahi kupata usingizi siku za wiki end wadau naomba 2jadili.

hivi ilipaswa kuwa tokea au kuanzia..........?
na kilichowasababisha wasipate usingizi ni nini.......?
 
Hahahahahahaa
Haya tujadili.

Hahahahahah lol! wewe mara ya mwisho ulipata usingizi lini? :):)...Aisee nadhani sasa nakumbuka deni lako but I am not 100% certain ila kama ni hilo :) basi kati ya sasa mpaka Dec 31st unaweza kujipanga kwa raha zako :) na kuanza kunilipa taratibu :)
 
Nliwahi kukaa bagamoyo kule Nianjema nlikuwa silali usiku ni taarab tu wanatoa mwali, kila leo.
 
wazaramo wamevuna mpunga mwingi bac kila wk end ngoma kwenda mbeleeee

Hii ni kawaida kabisa katika jamii za Kiafrica. Huo ndio utajiri wa Mwafrika.
Wakati Rostam na watu wa tabaka lake wanakwenda New york kupumzika baada ya kazi ngumu; wazaramu wanacheza ngoma. Kila mtu anatesa ki-vyake.
Kwani huko kucheza ngoma ni mwaka wa Kwanza? Si kila mwaka wanafanya hivyo?
wamevuna mpunga mwingi kwenye mashamba makubwa kiasi gani? Robo heka?
Watu hao hao kila mwaka wanaomba chakula cha msaada.
 
Back
Top Bottom