Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #2 mmhh... hapa lulu bibie! sijui ulimaanisha unawashwa wapi!
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #3 WEEEEEEEEEEEMAAAAAAA..... MBONA HUYU NAE KALA JAMANI?
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #4 Ray chuga. ze uwoya! this is jewelery! kitambo sana huyu!!! nani vile?
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #5 tisha sana! ekyanakyo...!! vocha ya mia tano kwa atayewahi kuniambia nani huyu?
ngosha2011 JF-Expert Member Aug 20, 2011 681 87 Nov 29, 2013 #6 life goes on said: tisha sana! ekyanakyo...!! vocha ya mia tano kwa atayewahi kuniambia nani huyu? Click to expand... aisha madinda
life goes on said: tisha sana! ekyanakyo...!! vocha ya mia tano kwa atayewahi kuniambia nani huyu? Click to expand... aisha madinda
Chachu Ombara JF-Expert Member Dec 11, 2012 5,897 10,358 Nov 29, 2013 #7 ngosha2011 said: aisha madinda Click to expand... Kumbe kazuri kazuri.
theki JF-Expert Member Nov 1, 2013 2,722 585 Nov 29, 2013 #9 kabanga said: ndio hao maselebrite...?! Click to expand... Kwani hawajatosha waongezwe?
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,202 18,472 Nov 29, 2013 #10 theki said: Kwani hawajatosha waongezwe? Click to expand... sijaona zaidi ya kuuza sura...
Kiwa JF-Expert Member Oct 4, 2011 2,102 905 Nov 29, 2013 #11 mbona maselebliti wenyewe jinsia moja tu?
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #12 Chachu Ombara said: Kumbe kazuri kazuri. Click to expand... haka ka manzi kamepotelea wapi wadau? si kalikuwa kana kata mauno bendi fulani mujini hapa!?
Chachu Ombara said: Kumbe kazuri kazuri. Click to expand... haka ka manzi kamepotelea wapi wadau? si kalikuwa kana kata mauno bendi fulani mujini hapa!?
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,739 10,067 Nov 29, 2013 Thread starter #13 Kiwa said: mbona maselebliti wenyewe jinsia moja tu? Click to expand... bado tunaapulodi wengine! si unajua wako wengi!
Kiwa said: mbona maselebliti wenyewe jinsia moja tu? Click to expand... bado tunaapulodi wengine! si unajua wako wengi!