Nadhani serikali imeshindwa kujua itumie vipi mechi za Yanga na Simba weekend hii kujitangaza kiutalii

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
7,931
13,422
Salamu Wakuu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa.

Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu wasiende kuwapokea wageni wanaokuja.kucheza na vilabu hivi viwili.

Huku ni kuishiwa mbinu za kibiashara na weledi pia.

Serikali ingeweza kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kupokea timu zinazokuja kucheza na Yanga na Simba hata ikibidi ngoma za jadi ziwepo (kuhamasisha utalii wetu) mabango ya visit Tanzania, Serengeti, Climb Mt. Kilimanjaro, etc. Yangekuwepo pia picha za vivutio vyetu zisisahaulike.

Waziri husika wa michezo au naibu wake wawepo, pia wa utalii asiache hili tukio muhimu kujitangaza kiutalii.

Embu serikali na watendaji wake waliangalie upya hili swala.

Hakuna uzalendo kwa taifa hili kama kupigania maslahi ya taifa Tanzania. Uzalendo ni kwa maslahi ya taifa sio vilabu vya mpira.

Siwapangii chakufanya lakini tuliangalie hili swala upya. Wapo vijana wetu wanaweza kupata nafasi ya kucheza hata kwenye hizi timu zinazokuja kutokana na aina tu ya mapokezi tutakayowapa na wakatamani kurudi Tanzania kwa ziara binafsi tofauti na ligi.

Sidhani kama serikali imeliangalia hili swala kwa upande huu wa utalii na kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii.

Sina maneno mengi zaidi ya haya Wakuu.
 
UNA HOJA MKUU

WAZIRI MWENYEWE NDIO HUYO YUKO BUSY ANAPIGA WATU MKWARA WASIJE NA JEZI ZA WAPINZANI

TANZANIA TUNA KAZI SANA AISEE, ILA NAAMINI UWEKEZAJI SAHIHI UKIWEKWA KWENYE SOKA DIZAINI YA ROYAL TOUR, TUTAFIKA MBALI
 
Salamu Wakuu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa.

Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu wasiende kuwapokea wageni wanaokuja.kucheza na vilabu hivi viwili.

Huku ni kuishiwa mbinu za kibiashara na weledi pia.

Serikali ingeweza kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kupokea timu zinazokuja kucheza na Yanga na Simba hata ikibidi ngoma za jadi ziwepo (kuhamasisha utalii wetu) mabango ya visit Tanzania, Serengeti, Climb Mt. Kilimanjaro, etc. Yangekuwepo pia picha za vivutio vyetu zisisahaulike.

Waziri husika wa michezo au naibu wake wawepo, pia wa utalii asiache hili tukio muhimu kujitangaza kiutalii.

Embu serikali na watendaji wake waliangalie upya hili swala.

Hakuna uzalendo kwa taifa hili kama kupigania maslahi ya taifa Tanzania. Uzalendo ni kwa maslahi ya taifa sio vilabu vya mpira.

Siwapangii chakufanya lakini tuliangalie hili swala upya. Wapo vijana wetu wanaweza kupata nafasi ya kucheza hata kwenye hizi timu zinazokuja kutokana na aina tu ya mapokezi tutakayowapa na wakatamani kurudi Tanzania kwa ziara binafsi tofauti na ligi.

Sidhani kama serikali imeliangalia hili swala kwa upande huu wa utalii na kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii.

Sina maneno mengi zaidi ya haya Wakuu.
wako busy kukagua VISA za mashabiki
 
Back
Top Bottom