Viongozi wa Yanga SC imegeni milioni ishirini ya 'Goli la Mama' ipelekwe kwenye mazishi ya shabiki yenu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake.

Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe kwa wafiwa nadhani kwa kutumia Wenyeviti na Makatibu wa Matawi mtawapata tu hao wafiwa.

Nawasilisha hoja.
 
Watakua wameidhalilisha taasisi ya uraisi maana mtakua mnaipangia kazi kutoka kwa shabiki wa utopolo lia lia
 
Watakua wameidhalilisha taasisi ya uraisi maana mtakua mnaipangia kazi kutoka kwa shabiki wa utopolo lia lia
Wamedhalilisha taasisi ya urais kivipi mzee?, rais ameshatoa pesa; haipo kwenye miliki yake tena kwa hiyo hana mamlaka ya kuipangia itumike vipi.
 
Back
Top Bottom