whatsapp

  1. Exile

    Je, na wewe unakerwa sana na utumiaji wa aina hii wa whatsapp?

    Mtu unakuta ameweka masetting kibao whatsapp ambayo ukimtumia kitu ndani ya masaa 24 kinajifuta bahati mbaya yeye hakuwa online au alipo mtandao unasumbua, Mtu mwenyewe ni jobless halafu badae anakuja kukusumbua nitumie tena binafsi sisumbuki tena kutuma hata apige magoti, na imekaa kitapeli...
  2. anti-Glazer

    Status za WhatsApp zinakera Sana. Sitakuja kufungua ng'o!

    Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee. Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz pekee ataendelea kufumgua Kila status ya contact za Whatsapp friend and co. Nimekuja kuona kwamba...
  3. Swahili AI

    Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  4. Russia is not your enemy

    Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

    Wakuu msaada hapa. Nimepewa simu na rafiki Ang nashindwa kufanya mambo kiwa mepesi simu yenyewe ni hii. Msaada wenu
  5. U

    Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

    Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi. Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
  6. Suley2019

    Je, WhatsApp yako imefungiwa? Fanya haya

    Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp. Kuna...
  7. ChawaWaMama

    Je TCRA au Mamlaka ya Tanzania wanaweza kusoma meseji za Whatsapp? Au zile za kawaida kwenye iPhone?

    Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
  8. jashmoe32

    Msaada wa whatsapp katika Nokia 3310

    Naomba msaada wa mtu mwenye uwezo ww kuweka whatsapp katika nokia 3310
  9. ryaniza

    Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  10. Annie X6

    Nipo kwenye Whatsapp group wajumbe wanapledge na kupunguza mie hata mia mbovu sina

    Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini. Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini. Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi...
  11. JanguKamaJangu

    WhatsApp ipo tayari kufungiwa Uingereza kuliko kulegeza usalama wa faragha

    WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni. Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona...
  12. Apollo

    WhatsApp itaweka sehemu ya "ku-edit message"

    WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa. Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
  13. S

    Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

    Story iko hivi.... Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so...
  14. JanguKamaJangu

    Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  15. BARD AI

    WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  16. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Singida Big Stars ni kweli Ofisi za Klabu yako iko WhatsApp na katika Briefcase kama inavyoripotiwa?

    Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
  17. MFALME WETU

    Akaunti zangu zote za WhatsApp zimepigwa ban. Nifanye nini kutatua hili?

    Moja kwa moja kwenye mada. Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi. Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu ya features zake lakini baada ya kupigwa ban mara kwa mara nikaachana nazo nikawa natumia Whatsapp...
  18. A

    Kuhusu Whatsapp

    Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp? Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana? Chief-Mkwawa
  19. BARD AI

    Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  20. BARD AI

    Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
Back
Top Bottom