Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
Mwezi Novemba mwaka 2014 Paul Makonda aliongoza kikundi cha kuvuruga mkutano wa Katiba wa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Katiba pale Ubungo Plaza. Alimkunja na kumburuza kama mhalifu. Hatukusikia kutoka kwa JK kama Mwenyekiti wa CCM wala Samuel Sitta kama Spika wa Bunge kujutia vitendo vya...
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.
2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.
3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:
4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:
5...
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya.
Kwa mfano kipigo...
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani.
Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani.
Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target.
Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:
2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:
3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?
4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
Israel imeamua ku jamming GPS kuogopa kipigo toka Irani cha Missile na Drone za mauaji. Wamesahau kua Irani anatumia GLONAS ya Mrusi ambayo inapenya popote
Wakati huohuo Magaidi wa Kizayuni wamefungua mahandaki na kuingiza familia zao zisije kuchakazwa....
⚡️BREAKING
Israel has jammed GPS at...
Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia......
Russia has condemned what it said were "completely unacceptable" Israeli strikes on Syria.
Israel carried out its...
Shalom,
Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma.
Huyu kijana wa Lamwai alikuwa na demu ambae huyo demu alikuwa na kaka zake kadhaa, kuna siku mtoto wa...
Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama.
Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa...
Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi
Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas
Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo
Mchezo umeanza
Dakika...
Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43).
Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
Nashukuru kuwa leo tena kipigo. Watu waelewe mpira si uhamasishaji. Ni uwekezaji serious. Team ilipaswa ikae kambini ijiandae. Ilipaswa iendeshwa na wataalamu siyo wanasiasa.
Sasa na michezaji nayo imekaa kibwege bwege kama mitaahira. Chezaji limetoka kufungwa linamshukuru rahisi. Kama li below...
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
Safi sana. Kapten aendelee kumshukuru anayemdhania ndo mwenye team.
Bao 3 kwa Nunge
Mi nitakuwa nahesabu tu. Hili li timu la hovyo. Na jana Morocco walituonea huruma sababu sisi ni ndugu zao. Ama sivyo ilikuwa watuchape hata 7. Inshallah next time itakuwa hivyo.
Wabillah tawfiq.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.