vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 335
- 547
Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika?
Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi halafu akakimbia,akafukuzwa na walinzi walipomkamata wakaanza kumpiga mateke na ngumi,video inatrend sana mtandao wa X.
Na pia Jwaneng wamepeleka malalamiko CAF kwamba
*Hotelini waliwekewa sumu kwenye chakula ikawathiri wachezaji wao watano na wakapona kabla ya mechi kwa jitihada za madaktari wao.
*Kipa wao kuibiwa simu na walinzi na kumpiga
*Wachezaji wao kujeruhiwa na kutupiwa chupa.
*Kuumizwa kisaikolojia na wamemaliza nguvu nyingi nje ya uwanja.
*Kuwekewa sumu kwenye vyumba vya kubadili nguo na kugoma kuingia vyumbani
Ingekuwa vizuri Simba itoe tamko au karipio kuchafuliwa maana haya malalamiko si mara ya kwanza.
Ingawa Jwaneng ndo waliosababisha hii vurugu lakini image inayochafuka ni ya Simba pia walinzi wa uwanjani hawakustahili kuwapiga pale walipokuwa wanalazimisha kuingia kupitia geti lingine mbali na geti husika.