Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,870
6,261
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi

nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno

msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari kabla ya mechi
 
Ng'o n'go n'go
 
Back
Top Bottom