Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU.
Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
Imethibitika Kahawa huwaongezea wanawake ashki ya kujamiiana..!
Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaowategemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa sababu, imebainika kwamba, kahawa inafanya kazi...
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania.
Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
Ndugu zangu,
Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
MAANA YA UTAFITI
Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi.
Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu katika Mgodi wa Petra Diamonds uliopo Shinyanga
Kwa mujibu wa taarifa yake, shirika hilo limefanya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.
Ndugu zangu...
Nashangaa tunajiulize kwanini hasa Tanzania rushwa haikomi
Utafit mdogo niliofanya ni huu
1. POLISI TANZANIA
Hapa wanaongoza kwa kutengeneza mazingira ya Rushwa. Ukiwa na kesi inayohusisha madai au Jinai lazima wale pande zote mbili,
Pia kuna hawa askari wa Usalama Barabarani, nao kila ukipita...
Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes.
The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4%
According to the Sept. 7 run of...
Tofauti na matarajio ya wengi, utafiti uliofanywa na Shirika la Centre for Economic Policy Research na Jarida la World Economic Forum umebaini kuwa mataifa yanayoongozwa na wanawake yana kiwango kidogo cha maambukizi na athari zinazotokana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19...
Aliandika maoni yake akayaita utafiti akarusha mitandaoni na watanzania wakamjibu vizuri sana nahisi sasa atajua watanzania wa sasa si wale aliowaacha alipoenda ughaibuni.
Kichwa cha habari na mambo aliyoyapa kipaumbele zaidi ya 85% kwenye andiko lake hayahusiani na kichwa cha habari yake...
Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema waliwahonga wapiga kura kila kata.
Masharti yalitolewa kwa makatibu kata na viongozi wengine wanapokwenda...
Ugonjwa wa figo
Figo ni ogani inayoshirikiana na moyo. Kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na mapigo ya moyo.
Magonjwa sugu ya figo hutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa kutenda kazi zake kikamilifu.
Tatizo huanza taratibu na kudumu kwa muda mrefu hadi kuonyesha dalili...
Shirika la afya ulimwenguni (WHO) na kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika CDC yameanzisha juhudi kuangalia uwezekano wa madawa ya mitishamba katika kupambana na janga la Virusi vya Corona.
Jopo hilo jipya la ushauri litaunga mkono nchi katika majaribio ya kitabibu, utafiti...
Pitia Reseach hii ili kuboresha muziki wako, imeletwa kwenu na Don Nalimison kwa maslahi ya Wanamuziki wa Tanzania.(PDF) ya chini.
I real Congrats CATHERINE KUTEESA from UGANDA for her Dissertation which is Salvation and Revolution in East Africa Musicians. "FACTORS AFFECTING MUSIC PUBLISHING...
Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi wengi walio upande wa upinzani hawakubaliani na ujio wa Membe.
Hoja yao ya msingi ni kwamba Membe...
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
Habari!
Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza maswali mengi kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo Mwezi. Sio ule wa kwenye kalenda bali huu tuuonao angani karibu kila iitwapo leo hasa nyakati za usiku. Yeah, huohuo kama duara fulani linalong'aa.
Kwa muda mrefu sasa tafiti mbalimbali zimekuwa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
Habari wakuu!
Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka.
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15.
Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.