maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  2. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  3. KAGAMEE

    Ni sahihi kunywa dawa na maziwa mgando (mtindi)?

    Wakuu kwema? Ni sahihi mtu kunywa dawa (Vidonge)na akatumia maziwa mgando? Asanteni
  4. Crocodiletooth

    Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji? Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo. Je, ni...
  5. P

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa mtindi na maziwa fresh

    Wapendwa..... Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla? Kwa aliyewahi kufanya je inalipa? Changamoto zake ni zipi? Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani?
  6. Habari Leo

    Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
  7. R

    Je, Maziwa ya ng'ombe ni dawa ya kifua kwa watu wanaofanya kazi sehemu za vumbi? kama ni dawa inafanyaje kazi? (The science behind that belief)

    Mara nyingi watu wanaofanya kazi kwenye kazi za kutimua vumbi kama kukoroga zege/kuchanganya mchanga na cement, ujenzi wa barabara kwenye vumbi nk, wanatumia maziwa eti yanasaidia kuzuia kifua kuuma/magonjwa ya kifua kutokana na vumbi. Je dhana hiyo ni kweli na kama ni kweli maelezo ya kisayansi...
  8. ward41

    Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi. Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
  9. Shagiguku

    TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  10. Kaka yake shetani

    Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  11. Bexb

    Nahitaji mbuzi wa maziwa wa kununua

    Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa. Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama unafahamu mahali wanapopatikana tafadhali naomba usisite kunijulisha. Shukrani. 0755964775
  12. Stephano Mgendanyi

    Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  13. Kinumbo

    Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

    Wakuu natumai mko njema kabisa. Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni maziwa halisi yasio kuwa ata na tone la maji, ni maziwa ambayo ng'ombe anakamuliwa kisha unaletewa...
  14. M

    Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  15. Makamura

    Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

    Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa na wanayaongeza na Butter 'magarine' ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
  16. Money Penny

    Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

    client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana money penny: sa unataka nifanyaje jaman client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje money penny: una hela? client wa instagram: ya nini money penny: ya kusimamisha maziwa? client wa...
  17. N

    Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  18. GoldDhahabu

    Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifingua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
  20. Hance Mtanashati

    Maua Sama ajitokeza hadharani kuongeza matiti Mloganzila

    Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake. Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
Back
Top Bottom