utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Gidori

    #COVID19 Utafiti Uingereza: Chanjo inasaidia kupunguza kuenea kwa virusi vya corona kwa asilimia 85

    Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85. Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
  2. J

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
  3. Sam Gidori

    Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

    Shirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limesema ndege yake ya utafiti imefanikiwa kutua katika Sayari ya Mirihi (Mars) imefanikiwa kutua salama na kushusha kifaa cha utafiti kilichopewa jina Perseverance katika sayari hiyo nyekundu. Hii ni hatua mpya katika utafiti wa anga za juu...
  4. YEHODAYA

    Utafiti waonyesha Watanzania wengi wachafu huwa wanaenda kulala usiku bila kuoga

    Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu...
  5. Superbug

    Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

    Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
  6. chrome

    #COVID19 Utafiti: Corona imeathiri uwezo wa wanaume kuzalisha

    TAFITI mpya umeonyesha kuwa Covid-19 inaweza kufanya wanaume kukosa uwezo wa kuzalisha.Wanasayansi wanasema kwamba wanaume wanaoambukizwa virusi hivyo wanaweza kukosa kuzalisha kwa muda. Kwenye utafiti wao wanasayansi walilinganisha ubora wa shahawa za wanaume walioambukizwa na wasioambukizwa...
  7. Makanyaga

    Utafiti wa kina nilioufanya kuhusiana na thread nyingi zinazoanzishwa humu JF

    Thread nyingi zinazoanzishwa humu JF kawaida huwa zinachukua muundo wa aina hii: Kuanzia page ya kwanza mpaka ya tano, watu wanakuwa wanajadili mada husika kwa umakini unaotakiwa na wnakuwa wako ndani ya mada muda Kuanzia page ya sita mpaka ya kumi linaanza kujitokeza kundi dogo la watoto na...
  8. Dr. Zaganza

    Uzi Maalum: Makala za Utafiti wa Visa Maarufu Vilotokea Tanzania toka 1961 mpaka 2010

    Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na 1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
  9. Dr. Wansegamila

    Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

    Wakuu salama? Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe. Maswali ya utafiti (Research questions): 1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
  10. Andie

    Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

    Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao. Area of study...
  11. kavulata

    Azam hawakufanya utafiti kabla ya kumfukuza kocha

    Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga. Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa, Ihefu, Namungo, KMC, Mbeya City wamebadilisha mabenchi ya ufundi lakini matokeo kwenye club yamebakia...
  12. Mwanamayu

    Tanzania should account for COVID-19 funds and stop hiding behind the facade of sovereignty

    Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
  13. D

    Chama kikiwafukuza Wabunge Viti Maalum CHADEMA itakuwaje?

    Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA. MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS) Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
  14. K

    Pamoja na sala wasomi wetu wanatakiwa kufanya utafiti wa madawa na teknologia

    Inasikitisha hakuna jitihada za kufanya utafiti kwenye Afya hasa chanjo na mambo mengine ya technologia. Nchi nyingi za Kiafrica zinawaachia kila kitu nchi za hao tunaowaita mabeberu kuanzia utafiti wa chanjo za malaria mpaka Corona. Yaani imefikiwa wakati hakuna hata utamaduni wa utafiti sasa...
  15. Miss Zomboko

    Utafiti: CoronaVirus ilishasambaa Duniani kabla ya mgonjwa wa 1 kugundulika China Desemba 2019

    Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria. Shirika la Afya...
  16. Infantry Soldier

    UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
  17. M

    Uchaguzi 2020 REDET kutoa Taarifa ya Utafiti kesho?

    Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020. Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya...
  18. Infantry Soldier

    Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao? Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
  19. GENTAMYCINE

    Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  20. Mtu Mzima

    Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

    Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
Back
Top Bottom