act-wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Deogratias Mutungi

    Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  2. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  3. DR Mambo Jambo

    ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
  4. B

    DW: Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania

    Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana: Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa: 1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu usiofaa na watawala. 2. Kupachikwa jina CCM B. 3. Ipi hasa ilikuwa sura halisi ya ACT? 4. Vipi...
  5. JanguKamaJangu

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  6. Jamhuri ya Zanzibar

    Chonde chonde mshikamano wa Wazanzibari: Tunataraji ACT Wazalendo Hawatasutwa na Dhamira yao katika Uchaguzi wa 2025

    Mapambano ya kupigania Uhuru wa Zanzibar yalisababisha Zanzibar kufuata mikondo ya siasa za kikabila ambayo ni ngoma iliyopigwa na kuimbwa vyema na wakoloni wa Kiingereza na kuwahemua Wazee wetu hadi wakaifahamu barabara kuicheza na kuiimba. Wenye asili ya Kiarabu waliunga mkono zaidi chama cha...
  7. tamsana

    Vyama tisa vya siasa vyaingilia kati kauli ya ACT-Wazalendo

    Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar. Hivi karibuni, ACT Wazalendo kilisema hakikubaliani na uteuzi wa Faina kwa madai yeye ndiye alikuwa...
  8. Q

    Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

    Hii "Self"ni ya Seif Hamad, lilitumika na CUF Maalimu baada ya ugomvi na Lipumba. Baada ya CUF Maalimu kuhamia ACT makao makuu yamehamia hapa. Tumefanya vikao vingi hapa katika uchaguzi Kinondoni. Sasa lina rangi ya ACT. Hakuna ugomvi tuna jibu nia OVU tu ya CCM na washirika wake. - Godbless...
  9. ACT Wazalendo

    ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

    Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia. Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi. Timu...
  10. ACT Wazalendo

    Viongozi wa ACT-Wazalendo Tunduru Washinda Kesi

    VIONGOZI ACT WAZALENDO TUNDURU WASHINDA KESI: Viongozi wa ACT Wazalendo kutoka Mkoa wa Kichama wa Selous (Wenye Majimbo ya Tunduru Kusini, Tunduru Kaskazini na Namtumbo) waliokuwa na kesi ya kushambulia na kujeruhi katika Mahakama ya Wilaya Tunduru wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana kesi...
  11. Fundi Madirisha

    Zitto ataiua ACT-Wazalendo

    Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali. Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
  12. Prof Koboko

    Hii ndiyo Agenda ya ACT-Wazalendo kumuombea Mbowe msamaha kwa Rais

    Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka kutumika kuisafisha serikali ya awamu ya 6 baada ya kuona kua hii kesi inalitia taifa aibu. Sasa...
  13. Mwananchi Huru

    Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

    ...... Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba. Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  14. Jabali la Siasa

    Shaka Hamdu Shaka ndani ya Ngorongoro kuzindua kampeniza uchaguzi mdogo wa Mbunge

    Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale. Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi "Simba wa Vita " Shaka Hamdu Shaka akiambatana na Viongozi mbalimbali pamoja Wale wa Wilaya...
  15. ACT Wazalendo

    ACT Wazalendo yakataa kushiriki Kikao cha Msajili

    TAARIFA KWA UMMA. Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021. Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
  16. S

    ACT-Wazalendo na CHADEMA, achananeni na dhana ya ukuu/ukubwa miongoni mwa vyama vya upinzani nchini

    Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani. Katika dhana hiyo hiyo ya...
  17. IslamTZ

    Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
  18. Elitwege

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

    Habari. Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe. Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa...
  19. S

    Jafari Kubecha aitaka ACT Wazalendo kuteua vijana makini

    Na Mwandishi wetu, Dodoma Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
Back
Top Bottom