ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Ushirikina unaongezeka kwa kasi kubwa duniani

    Changamoto za maisha zinazidi kuikumba dunia. Kisiki cha ajira ni mfupa uliowashinda hata mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi Shortcut nyingi za madawa, silaha, vikundi vya kigaidi na umafia wa namna zote vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Ni kama sasa dili zile kubwa kubwa zimetoweka na hata...
  2. MC44

    Ubakaji na ushirikina

    Habari wana jamvi. Kuna matukio mengi yanatokea hapa nchini mengiyo yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Nizungumze kidogo ubakaji. Kuna matukio mengi tunayasikia yanayohusu ubakaji tena wa watoto wadogo na watoto wachanga. Maswali hapa je huyu mbakaji anatafuta kile kinachopatikana kwa...
  3. Sa 7 mchana

    Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  4. May Day

    Uzembe wa Askari kulenga shabaha na kupoteza risasi 49 unaposingiziwa ushirikina

    Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika. Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
  5. M

    Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  6. Da Vinci XV

    Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

    Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences Wasalaam, Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa. Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
  7. Mshana Jr

    Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Uliwahi kurogwa? Uliwahi kuroga? Una chale mwilini? Ulisimuliwa tuu? Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka? Ulishawahi kudalaliwa? Ulishawahi kutapeliwa? Una hirizi? Ulishawahi kunyweshwa kombe? Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini? Ulishawahi kuvunja nazi njia panda? Nknk Uzoefu...
  8. M

    SoC01 Tuachane na ushirikina, uchawi tupate maendeleo

    Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
  9. Joshua Deus

    Ufahamu mdogo Magonjwa ya Akili kuhusishwa na Ushirikina

    Na Joshua Deus Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao. Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
  10. Mshana Jr

    Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
  11. R

    Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Habarini wanajamvi! Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa) sababu ya shule na baadhi ya...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
  13. Its Pancho

    Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

    Wakuu Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana. Niliwahi sikia Story kwa vijana wa kizamani walinisimulia kuwa, pepe kale alikuwa ana jeneza lake...
  14. M

    Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

    Ni tukio la kushangaza kidogo. Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka! Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
  15. Carlos The Jackal

    Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

    Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa Ya nini haya sasa jamani? Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
  16. sky soldier

    Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

    Muhimu: kufanya mila za tamaduni mfano kuchinja mbuzi na kutumia damu katika shughuli za kienzi tamaduni haya ni mambo ambayo yapo karibu kila kabila, huu sio ushirikina bali ni tamaduni. Hapa tunazungumzia ushirikina kama kupigana vipapai (kurogana), kuamka mwili umepigwa chale, kusumbuliwa...
  17. mediaman

    Nilikuwa nimelala chali, "tembo" akanigandamiza sana kifuani

    Wakuu, hii ni habari ya kweli kabisa. Hivi majuzi niienda mji fulani nikakutana na kisa cha ajabu sana. Baada ya kufika katika mji huo mwenyeji wangu alinipokea na kunikaribisha kwake. Baada ya kufika kwake nikatambua kuwa anaishi katika vyumba viwili katika nyumba ya kupanga. Tulipokuwa...
  18. demarine

    Je, ni kweli ili mtu uendelee kibiashara ni lazima ufanye ushirikina?

    Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...
  19. S

    Kumalizika kwa tembo wetu ni vita kamili kati ya askari wa wanyamapori na majangili, nguvu ya ushirikina

    Huko porini wanapokutana katika makabiliano ya silaha kati ya askari wa wanyama pori na majangili wa nyara za serikali hua hakuna mateka. Ama afe/wafe askari au afe/wafe majangili. Hua ni vita kamili, kubwa, kali na yakikatili sana. Nimefanya mazungumzo na watu mbalimbali ikiwemo wazee wenye...
Back
Top Bottom