Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,753
- 699,384
- Uliwahi kurogwa?
- Uliwahi kuroga?
- Una chale mwilini?
- Ulisimuliwa tuu?
- Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka?
- Ulishawahi kudalaliwa?
- Ulishawahi kutapeliwa?
- Una hirizi?
- Ulishawahi kunyweshwa kombe?
- Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini?
- Ulishawahi kuvunja nazi njia panda?
Uzoefu wako ni upi hasa...! FUNGUKAAA...!!! Dunia ya ushirikina ni pana sana... Na kama bado hujaishiriki basi kuna hiki chuo cha maisha hujafuzu! Sometimes ni muhimu kuroga japo kidogo tu ili uongeze cv yako...!