Mbowe haoneshi dalili ya kung'atuka licha ya kuwa mwenyekiti kwa miaka mingi CHADEMA

Irene Darton

Member
Feb 25, 2024
18
21
Na Nulphin Charles Heche, Mtwara

Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa.

Freeman Mbowe aliyeoa mtoto wa Edwin Mtei Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa Bob Makani na kukificha kijiti kwapani kwa zaidi ya Miaka 20 sasa. Historia inaonyesha kila anayejaribu kuwania nafasi ya Uenyekiti hukumbwa na kadhia itokanayo na utemi wa Mbowe.

Hivi karibuni Chadema imeonekana kupoteza ushawishi hususani katika miji ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha, jambo lililothibitishwa na uchache wa waandamanaji katika maandamano yaliyolenga kufufua chama hicho hivi karibuni. Kwa muda mrefu Freeman Mbowe amekuwa akijilimbikizia mali na kushindwa kujenga hata Ofisi ya makao makuu HQ ya Chadema.
 
Umeandika ushògà wako
 
Bila Mbowe Chadema ingelikuwa ishajifia kitambo hasa wakati ule wamagufuli, Viongozi wa taifa hili wanatakiwa wamshukuru sana Mbowe, amejitahidi sana kufanya siasa za kistaraabu.

Fikiri tu Lisu ndiyo angekuwa ndiyo mwenyekiti nini kingetokea? Wakati ule wa maandamano ya ukuta Makufuli alidhamiria kumwaga damu za watu, na viongozi wa dini wakapenyezewa siri hiyo ikabidi wamtonye Mbowe asitishe maandamano ili kuepusha damu za watu kumwagika. Fikiri tu angekuwa ni Lisu angekubali?. Mbowe apewe mauwa yake.
 
🤣🤣Ingekuwa hivyo Nyerere angefia madarakani
Don't justfy udikteta uchwara na wizii wa Mali za chama na ruzuku
 
Na Nulphin Charles Heche, Mtwara

Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa.

Freeman Mbowe aliyeoa mtoto wa Edwin Mtei Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa Bob Makani na kukificha kijiti kwapani kwa zaidi ya Miaka 20 sasa. Historia inaonyesha kila anayejaribu kuwania nafasi ya Uenyekiti hukumbwa na kadhia itokanayo na utemi wa Mbowe.

Hivi karibuni Chadema imeonekana kupoteza ushawishi hususani katika miji ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha, jambo lililothibitishwa na uchache wa waandamanaji katika maandamano yaliyolenga kufufua chama hicho hivi karibuni. Kwa muda mrefu Freeman Mbowe amekuwa akijilimbikizia mali na kushindwa kujenga hata Ofisi ya makao makuu HQ ya Chadema.
Acha upumbavu mkuu, Mr. Mbowe family ina pesa nyingi hata kabla babu yako hajazaliwa,pesa sio tatizo kwenye family hii, kajitolea mhanga kutetea umma wa watanzania waliojawa uoga wa kizuzu kama wewe mtoa hoja
 
🚮
 
Angefia tu madarakani pengine tungekuwa mbali ikiwa tu alijaribu kuzuia madini ya sichimbwe hadi sisi tutakapota elimu ya kweli kuhusu madini hayo, na hata kuyachimba na kuyauza kwa thamani inayostahili leo kiko wapi? nchi inakwenda kuisha
 
Na Nulphin Charles Heche, Mtwara

Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa.

Freeman Mbowe aliyeoa mtoto wa Edwin Mtei Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa Bob Makani na kukificha kijiti kwapani kwa zaidi ya Miaka 20 sasa. Historia inaonyesha kila anayejaribu kuwania nafasi ya Uenyekiti hukumbwa na kadhia itokanayo na utemi wa Mbowe.

Hivi karibuni Chadema imeonekana kupoteza ushawishi hususani katika miji ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha, jambo lililothibitishwa na uchache wa waandamanaji katika maandamano yaliyolenga kufufua chama hicho hivi karibuni. Kwa muda mrefu Freeman Mbowe amekuwa akijilimbikizia mali na kushindwa kujenga hata Ofisi ya makao makuu HQ ya Chadema.
Stupid.
 
Acha upumbavu mkuu, Mr. Mbowe family ina pesa nyingi hata kabla babu yako hajazaliwa,pesa sio tatizo kwenye family hii, kajitolea mhanga kutetea umma wa watanzania waliojawa uoga wa kizuzu kama wewe mtoa hoja
Wew ni mjinga Mbowe ni tajiri kuliko Elon Musk au Dangote? Unadhani matajiri huwa Wana mwisho WA kutafuta pesa? Tumia vzr akili yako

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom