Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga nyumba ya vyumba 100, halafu unalala chumba kimoja itakuwa haina maana, lakini kama umejenga vyumba 100 halafu ukapangisha 99 ukalala kimoja utategeneza faida"

---
Ni wakati sasa wa mbunge wangu wa Kawe, Askofu Dkt. Gwajima kuleta ile treni yake aliyosema ameshapata pesa Cash ya kuinunua ili isaidie kuongeza tija ya usafiri wa wanadar es salaam.

View attachment 2944340
mzaa mzaa utumbua usaha sasa baba askofu tunasubili!
 
Back
Top Bottom