shirika la reli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  2. A

    Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  3. K

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  4. JanguKamaJangu

    Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania watoa siku 30 kwa Uongozi la sivyo watatangaza mgogoro

    Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC). Baraza hilo limetoa...
  5. Mangi wa Rombo

    Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  6. benzemah

    Tanzania na China kushirikiana kuboresha Shirika la reli Tanzania

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo. Profesa Kahyrara ameyasema...
  7. U

    Tujikumbushe: Kikwete na uuzwaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) vs Rais Samia na kuuza Bandari zetu

    Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai.. Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
  8. HIMARS

    Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule. Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu...
  9. T

    TRC kusitisha safari mikoa 6 sababu ya mvua ni ushirikiano na wamiliki wa mabasi. Mvua hazikuwepo kipindi cha Hayati Magufuli?

    Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara. Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni mvua gani zilizonyesha kuzidi awamu ya miaka 6 ya Magufuli? Mbona hatukuona usimamishaji wa safari...
  10. chizcom

    Mnakumbuka kipindi cha Shirika la Reli muwekezaji aliyekuja kuwekeza naye akaenda kukopea?

    Hii nchi rahaa sana ukiwa umesoma miaka ya nyuma kidogo kipindi cha Jakaya sikosei, shirika la reli lilipata changamoto ya uendeshaji na kufikia kuporomoka mpaka kufikia kutafutwa muwekezaji. Na huyu alikuwa muhindi wa india ila alivopewa kuendesha shirika na yeye alivokuwa mjanja alisafirisha...
Back
Top Bottom