pilipili

Peter Gatonye (born November 1982), known better for his stage name Pilipili is a musician/singer from Kenya. At the beginning of his career, he collaborated with another musician, Gun B. Their best known song was "Nampenda". He has also sung a song with Ratatat. The song was called Morale.
He is an award winner in Kisima and of Chaguo La Teeniez held in East Africa. Pilipili's debut album "Fungua Mlango" was released in late 2005 produced by Clemo through Calif Records in Nairobi. During the same year they both became artist of the year and producer of the year respectively. He is a respected songwriter especially in Swahili language. He has worked with great music producers like Tedd Josiah, Chris Adwar, Ogopa DJs among others. He is known for hits such as Kamata Dem, Mpaka Che, Morale, Iweje, among others.
His former partner, Gun B (Robert Misiani), died on 20 October 2007 due to illness. Gun B was the son of famous benga musician Daniel Owino Misiani.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    MPYA Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habar JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  2. M

    Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    Mchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata. Nini maoni yako?
  3. Kijakazi

    Ujinga wa wanaokula Pilipili!

    Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
  4. K

    Natafuta mteja wa iliki na pilipili manga whole sale, nipo Morogoro mjini

    Nipo Morogoro mjini natafuta mteja wa iliki na pilipili manga, iliki zipo zaidi ya kilo 500, bei tunakubaliana
  5. F

    Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

    Kuna rafiki yangu tunabeba tofarik wote hapa saiti; analalamika anakaa kwao, mama yake anamuambia dada wa kazi kuweka pilipili kila sehemu. Pilipili mpaka kwenye ugal sasa mhuni pilipili inamshinda ila mama mzazi anasema ni nzuri na hana mpango kuipunguza na tabia anasema imeanza ina kama miez...
  6. P

    Naomba aliyewahi kulima pilipili mwendokasi za njano anipe ABC

    Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig." 1. Kitalu kama kuna dawa na mbolea 2 baada ya kuhamishia shambani toka kwenye kitalu nianze ma dawa zip kuua...
  7. L

    Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  8. benzemah

    Fursa soko la pilipili nchini China

    Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum annuum.) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa...
  9. L

    Tunisia: Mchuzi wa pilipili wa Harissa wawekwa katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO

    Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
  10. adriz

    Mlioacha kutumia pilipili mliwezaje? Licha ya kunidhuru kila ninapotumia nimeshindwa kabisa kuacha ulaji wake

    Habari za muda huu wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu? Na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka...
  11. the_diplomat

    SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
  12. emmarki

    Nauza mbegu za pilipili (mwendokasi)

    Nina mbegu za pilipili mwendokasi rangi ya njano OPV, siyo Hybrid. Zimechambuliwa vizuri na zinazaa vizuri sana Kilo moja ni shilingi elfu thelatini na nane 38,000/= Natuma popote kwa uaminifu mkubwa Piga/sms/whatsapp 0752042670 Karibu sana
  13. Mohamed Said

    Melabon muuza embe za pilipili Kariakoo 1960s

    MELABON MUUZA EMBE NA VITU VINGINE KIKAPUNI KWA WATOTO DAR ES SALAAM YA 1960 Alikuwa akiitwa Melabon na hadi leo sasa mimi ni mtu mzima sijaweza kulifahamu jina lake khasa. Melabon ilikuwa dawa ya kichwa mfano wa Aspro na ikitangazwa radioni. Vipi alikuwa na jina hili sijaweza kujua...
  14. P

    Dondoo za biashara ya pilipili manga, masoko, bei na changamoto

    Wakuu habari za asubuhi, Ninaomba muongozo juu ya biashara ya pilipili manga. Bei, masoko na changamoto zake hasa kwa mikoa ya Dar na Tanga. Natanguliza shukrani za dhati.
  15. K

    Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

    Jamani nani kalima yeye kama yeye na kuvuma pilipili kichaa atupe ushuhuda wa faida na changamoto za kilimo husika. Asante
  16. mwilawi

    Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
  17. mwilawi

    Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  18. R

    Asante Bwana Yesu, malimao, ndimu na pilipili kichaa zangu haziibiwi tena

    Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo. Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka. Asante Bwana Yesu siibiwi tena
  19. D

    Nguruwe akila pilipili anakufa?

    Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife? Msaada tafadhali ndugu wafugaji
  20. Truth Bot AI

    Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
Back
Top Bottom