pesa

  1. King Jody

    Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  2. D

    Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  3. matunduizi

    Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  4. JanguKamaJangu

    Watu 30 wamekamatwa kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kujaribu kujipatia pesa za NSSF

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na maofisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Desemba 2023 hadi mwezi Aprili 2024 limewakamata watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali zinazohusiana na mfuko wa hifadhi ya jamii...
  5. B

    Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo. kama hutaki shida na migogoro...
  6. Razorblade

    Mgao wa pesa kulingana na mahitaji

    Habari! Kumekuwa na kundi kubwa la watu hasa vijana ambao wanashindwa kujua namna ipi nzuri na rahisi ya kugawa pesa zao kulingana na mahitaji yao. Naomba nitoe ushauri na kupendekeza njia rahisi inayoweza kuwa msaada kwa wengi katika kufikia malengo. Njia hii ambayo imeelezwa kwenye kitabu...
  7. U

    Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea

    ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0. wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
  8. Ndagullachrles

    Wasaka Ubunge Jimbo la Mwanga waanza kumwaga pesa

    Makada wawili wa Chama cha Mapinduzi(ccm)wanaotajwa kuusaka Ubunge wa Jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro,wanadiwa kuanza kilumwaga pesa kwa watu wanaominika kuwa ni wajumbe wenye kuamua kura za maoni. Taarifa kutoka Mwanga zinapasha kuwa makada hao wanapishana huku na kule kusaka ushawishi wa...
  9. U

    Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  10. Saad30

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    SALAM MKUU. Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA. Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary. Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini...
  11. Mpwayungu Village

    Endapo yanga wakikata rufaa naikagundulika ni goli, betpawa wanilipe pesa yangu nilibetia yanga ashinde

    Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii...
  12. Chawa wa lumumbashi

    Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  13. M

    Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

    KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔 Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli . Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
  14. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active...
  15. LA7

    Huwa unachelewa kuamka wakati upi; ukiwa na pesa au ukiwa hauna pesa?

    Kwangu mm nikiwa na pesa usingizi huisha SAA 11 ila nikiwa sina hela au ramani ya kazi usingizi mpaka saa 3 asubuhi
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

    Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda...
  17. M

    Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  18. Stroke

    Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom , Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu.

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
  19. Kaka yake shetani

    Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  20. Kiboko ya Jiwe

    Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
Back
Top Bottom