somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  2. X

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya nyuma. ●RIHANNA Kwenye mahojiano yake ya karibuni alisikika akisema "Huenda ikaonekana ni unafiki...
  3. B

    Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

    Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo. kama hutaki shida na migogoro...
  4. Jaji Mfawidhi

    Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Ni lini lugha za kikabila zitakuwa somo kama ilivyo kwa Kiarabu, Kiswahili, Kingereza na Kichina?

    Kwema Wakuu! Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu. Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
  6. D

    Kama tungefundiswa somo la madini, tungelikuwa mabilionea

    Nchi ya Tanzania ina madini ya kila aina katika sehemu mbalimbali. Kuna madini mengi sana mkoani Geita, na sehemu nyingine za nchi yetu. Kama watunga sera wa Wizara ya Elimu na mawaziri wote wa elimu wangekuwa na ubunifu mkubwa, wangeweza kuanzisha somo la madini katika shule za msingi za...
  7. Teslarati

    SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

    Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa) Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda...
  8. J

    Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  9. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  10. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini! Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
  11. Alwaz

    Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

    Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa. Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao...
  12. F

    Kwenye biashara usiogope majina makubwa yaliyokutangulia; Hill water, mabasi ya Tilisho ni somo kubwa la kuingia sokoni ukiwa mpya

    Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja. Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
  13. S

    Unyenyekevu ni somo la maisha ya RIP Ali Hassan Mwinyi

    Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani. Padre yule alielezea kuwa adui wa ajira nyingi za watu mbalimbali ni ukosefu wa sifa ya unyenyekevu katika maisha...
  14. S

    Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

    Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
  15. Alwaz

    Mataifa ya Ulaya yameelewa somo la Hamas.Wanataka taifa la Palestina liundwe haraka.Netanyahu ana tamaa ya ushindi na Hamas wana shaka na juhudi hizo

    Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina. Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain. Kuundwa kwa...
  16. M

    Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili. Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
  17. Suley2019

    Je, Somo la Civics (Uraia) linawasaidia wanafunzi kuijua nchi yao na kuwaandaa na siasa ya kesho?

    Salaam ndugu zangu, Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka. Kwa upande wangu nimetazama nilikuwa interested na somo la Civics ambapo pia nimeona ufaulu umeongezeka kwa mwaka huu 2023...
  18. kavulata

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
Back
Top Bottom