Papa Francis ashauri kitendo cha wanawake kubebeana mimba kipigwe marufuku Duniani kote.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers'

Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho kitengo.
---

Vatican City. Pope Francis called Monday for a global ban on surrogacy, saying the practice of a woman carrying another person's child was "deplorable".

In his New Year's address to diplomats at the Vatican, the 87-year-old pontiff said it was a "grave violation of the dignity of the woman and the child".

In a speech dominated by calls for an end to conflicts around the world, the head of the worldwide Catholic Church said: "The path to peace calls for respect for life."

This began "with the life of the unborn child in the mother's womb, which cannot be suppressed or turned into an object of trafficking", he said.

"In this regard, I deem deplorable the practice of so-called surrogate motherhood, which represents a grave violation of the dignity of the woman and the child, based on the exploitation of situations of the mother's material needs.

"A child is always a gift and never the basis of a commercial contract. Consequently, I express my hope for an effort by the international community to prohibit this practice universally."

In June 2022, the pope condemned surrogacy as an "inhuman" practice.

"Altruistic" surrogacy, whereby a woman gives birth to a baby on behalf of another woman or couple but no money changes hands, excluding for expenses, is legal in countries including Belgium, the Netherlands, the UK, Canada, Brazil and Colombia.

Kumbuka mwezi uliopitwa Baba Mtakatifu Papa Francis aliruhusu kanisa katoliki kubariki mashoga na wanaume wanaojihusisha na ushoga kwamba ni kuwapa mapenzi ya Mungu.

Watu wameshaanza kumpuuzia papa, yaani anaona ni kosa kwa watu kupeana mimba kwa njia isiyo ya asili na hapo hapo haoni uovu wa mashoga.
Huyu baba mtakatifu papa Francis kuna mtu anamshikisha ukuta sio bure.

Kwamba Mungu hapendi wanawake wabebeane mimba ila anapenda wanaume wafirane?

Huyu mzee ni hovyo kabisa.
 
Papa huwa hatowi matamko mfufulizo, hata wajinga sasa watabaini vita ya Illuminati na Jesuit ni really.
 
Watoto ni Baraka, zamani wazazi wetu walifanya kwa siri sana, yaani unakuta mumeo hana uwezo wa kuzalisha unaitwa afu nduguye anakupa ujauzito kwa siri ili kumsitiri mumeo na unazaa na watoto wanakuwa wa mumeo tena bila malipo.
 
Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers'

Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho kitengo.
---

Vatican City. Pope Francis called Monday for a global ban on surrogacy, saying the practice of a woman carrying another person's child was "deplorable".

In his New Year's address to diplomats at the Vatican, the 87-year-old pontiff said it was a "grave violation of the dignity of the woman and the child".

In a speech dominated by calls for an end to conflicts around the world, the head of the worldwide Catholic Church said: "The path to peace calls for respect for life."

This began "with the life of the unborn child in the mother's womb, which cannot be suppressed or turned into an object of trafficking", he said.

"In this regard, I deem deplorable the practice of so-called surrogate motherhood, which represents a grave violation of the dignity of the woman and the child, based on the exploitation of situations of the mother's material needs.

"A child is always a gift and never the basis of a commercial contract. Consequently, I express my hope for an effort by the international community to prohibit this practice universally."

In June 2022, the pope condemned surrogacy as an "inhuman" practice.

"Altruistic" surrogacy, whereby a woman gives birth to a baby on behalf of another woman or couple but no money changes hands, excluding for expenses, is legal in countries including Belgium, the Netherlands, the UK, Canada, Brazil and Colombia.

Kumbuka mwezi uliopitwa Baba Mtakatifu Papa Francis aliruhusu kanisa katoliki kubariki mashoga na wanaume wanaojihusisha na ushoga kwamba ni kuwapa mapenzi ya Mungu.

Kuna namna nikiona mtu anasali Katoliki Huwa namdharau sana sijui kwanini
 
Watu wameshaanza kumpuuzia papa, yaani anaona ni kosa kwa watu kupeana mimba kwa njia isiyo ya asili na hapo hapo haoni uovu wa mashoga.
Tumia akili bwana yaani hata huelewi mada wewe ni kukurupuka tu, dah nchi hii ngumu sana, alichokisema papa umeuelewa lakini?????
 
Back
Top Bottom