ujenzi wa nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prophet of Nations

    Unawezaje kuanza ujenzi wa nyumba yako Tanzania?

    Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  3. BARD AI

    Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    #KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi. Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
  4. Wakili wa shetani

    Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  5. Patriot

    Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  6. B

    Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu) NB: Nikipata na bei itakuwa...
  7. R

    Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  9. Intelligence Justice

    Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
  12. R

    Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  13. T

    Ujenzi wa nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

    Habari wadau wa Jamii forums.Nilikuwa naomba kuuliza ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja kikiwa juu kingine chini pamoja na jiko, sebule, dining na choo inaweza kugharimu shilingi ngapi mpaka nyumba kusimama bila finishing yoyote bila magrill wala frame za milango yaani jengo tu...
  14. Mparee2

    Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  15. B

    Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  16. L

    Quantity Surveyor natafuta kazi

    Habari ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mm ni quantinty surveyor nimesomea chuo kikuu cha ardhi Dar es salaam hivyo bas napenda kutaarifu jamii kuwa nafanya kazi mabali mbali za kuushu ujenzi wa majengo kama vile .ukadiliaji gharama za ujenzi mfano kama una raman yako...
  17. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  18. Tarimofundiumeme

    Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  19. chilumendo

    Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  20. L

    Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

    Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Back
Top Bottom